Mwanamke hawezi kuwa mtiifu kwa Mwanaume Bwege, asiyejielewa.

Katika vitu viliwahi gunduliwa hapa Duniani ni kipi kimegunduliwa na mwanamke,uliumbwa kuwa chini ya mtu hiyo-kwa tafsiri aliyekuumba ulikuwekea limit ya akili ili kuweza kuwa chini ya mtu
 
Nakubaliana na wewe lakini ilikuwaje akaolewa na bwege?
 
Katika vitu viliwahi gunduliwa hapa Duniani ni kipi kimegunduliwa na mwanamke,uliumbwa kuwa chini ya mtu hiyo-kwa tafsiri aliyekuumba ulikuwekea limit ya akili ili kuweza kuwa chini ya mtu
Kwahiyo mwanaume aisetumia akili yake vizuri ndio wa kufananisha na mwanamke?

Unajua nani alivumbua Wiper ya gari?
Mvumbuzi wa wiper ya gari ni Mary Anderson, mwanamke kutoka Marekani


Na pia wanawake wamekua sehemu ya team za uvumbuzi wa vitu vingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…