Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Faiza kumbe unamjua Salma upande mmoja tu, hukua unamjua vizuri,
Salma ni tapeli wa matapeli, hapo nyumbani kwake Upanga hakuna dili zilizokua hazipigwi, uhamiaji ilikua kwake (ukitaka passport unaenda kwake anatengeneza chap),
Enzi za Kikwete alikua hashikiki, polisi walikua wanaogopa kwenda kwake kumkagua, ila Magufuli ndie aliyemkomesha na kumtia ndani hadi kumfunga hiyo miaka 99,

Huyo Mariam hawezi kumjukuu Dr. Cheni kwanza Cheni anaweza kua agemate wake au Cheni kamzidi kidogo pia sidhani kama Mariam ana mtoto, ninachojua ni mashine ya kusaga na kukoboa na ana 'mke' kabisa anaishi nae japo anawabadilisha sana,

Sema sasa reporter Nifah imekuaje hujajua kama Salma alishatoka jela? japo ilikua kimya kimya watu wasijue ila alipunguziwa miaka hadi akapewa miezi kadhaa na hakuimaliza akatoka kwa msamaha.
 
Wanawake tunapitia wakati mgumu sana, Mungu atusaidie!

Wewe fikiria tu yule mke wa askari wa zenji ana hali gani kwa ndugu na marafiki na mtaani anakoishi?
Ni zaidi ya fedheha!
Infact, siku hizi wanaume mishipa ya aibu imetiwa ganzi ni vituko usiombe.
 
Hatimaye thread imeachiliwa… Nilikuwa nagugumia huko kwa kushindwa kukujibu.

Asante kwa kumpa ukweli wa mambo FaizaFoxy
Hilo la kuachiliwa ngoja niingie mzigoni, nitakurudia.
 
Halafu sio Bi Salma hata Marehemu Tanti boy Raisi wa Magomeni mcheck google alipita nae hata mkewe Mama yake yuko Marekani ana mtonyo.
Hii comment yako ndio imenifanya nipige kelele uzi urudi, nimcheki vipi Google wakati Tanty alikuwa jirani yangu? Kila mwezi wa Ramadhani lazima afuturishe? Mishangazi na mishangingi yote ya mjini ndani hasa shoga yake mkubwa Ma Salma?

Si ana watoto wawili yule mvulana nimemsahau jina wa kike Hadija?
Nilikuwa naishi palepale 🤣🤣🤣
Huenda tunajuana ila ndio mitandao hii sasa.

Tanty basi itakuwa ndio michezo yake ya vijana wadogo maana nakumbuka kabla hajafariki alikuwa na mkaka flani mweusi akawa anaendesha ile Harrier yake nyeusi!
 
Mariam ana mtoto na kafanana na huyo cheni, mimi simfahamu cheni.

Huo upande wa utapeli wa Salma siufahamu kiukweli, mimi tuliachana bado wadogo na harusi yangu alikuwepo. Nimeishi nje kwa miaka mingi sana, nilikuja miaka ya 80 mwishoni akanikaribisha kwake, kama marafiki wa zamani. Ndipo nikamuona ana kijukuu kidogo ndicho nilichokifananisha na huyo Cheni, Binti yake Mariam nikamuonea hapo Upanga, mmbo yake mengine siyafahamu.

Sema leo nimeulizia sana kwa watu wa Kariakoo, nikaambiwa kifungoni aliwachiwa kwa rufaa.

Pia nimeambiwa leo hii, huyo mtoto wa Mariam alizaa na DJ mmoja wa zamani wa Mbowe wa Kiarabu, namkumbuka, anaitwa DJ Femmy alikuwa pamoja na Saidoo na ni jaamaa zake wale kina Sudi waliokuwa na vyombo vya Disco vinavyotumika pale Mbowe walivyoanzisha Disco.

hayo ndiyo niliyoyapata kwa upande wangu. Huyo DJ Femmy nasikia miaka mingi sana sasa yupo nje ya Tanzania, nchi za Kiarabu huko, aliyenippasha umbea hajuwi yuko nchi gani. Na siyo huyo Cheni, huyo mtoto ni shombe kabisa la Kiarabu. Na Yeye hawajuwi yuko wapi, labda alichukuliwa na baba'ke. Lakini alilelewa hapohapo na Salma.

Kwa hiyo Salma yupo mitaani anadunda kama kawa. Salma Mtambo ni Mtambo kweli.

Mwenyeezi Mungu amuondoshee na atulizane na utu uzima huu.
 
Haya Dr Matola PhD pitia huku Just a person uzi umerudi
Nifah kila uzi wangu wa udaku unapigwa ban 🤣🤣🤣
Tatizo mm mpana sana ila natumia code...
Kuna nyuzi tatu za watoto wa mjini nimepigwa ban zisiendelee..
NGOJA NIENDELEE HUMU HUMU KWAKO..
TATIZO MADOGO WA KUBANA PUA WANAJIFANYA WAJUAJI SANA...
UTASIKIA MARA OOOH BABU YANGU MZAWA WA GEREZANI NA KIDONGO CHEKUNDU,,,,,,MM BORN TOWN HUNIAMBII KITU..
ILA MKIKUTANA UGHAIBUNI WAMEKWAMA WANAJIFANYA KUKUJUA SANA....
SASA STROY INAAANZA HV...
KWA UFUPI LAKINI MAANA BAADAE NITAWEKA UZI NA UKILA BAN FRESH TU..
MWAKA 2009 NIPO MITAA YA MKWAJUNI,,,NIMEFULIA SINA DILI LA KUNIPA UKWASI,SO NIKAMCHEKI MWANANGU GINZE AKANIPA DILI MOJA NICHEZE NA WATOTO WA KKOO AFU WALE NI MADOGO WABANA PUA WA BONGO FLAVA.....MUCH KNOW SANA WALE MADOGO AFU WOTE WANALELEWA NA MASHANGAZI WA MJINI
WAKATAKA KUNIZUNGUKA WAO WAKIHISI MSHAMBA KISA NIMETOKEA KASULU KWENYE HARAKATI ZA MACHIMBONI KUSAKA MAWE
DILI LIKAJA MEZANI TUPIGE MAZAGAZAGA YAENDE LILONGWE....
MADOGO WABANA PUA KWA TAMAA WAKATAKA KUNIPIGA...
NA MM NIKAWAWAHI LILONGWE KWA WANYASA KULE WAKATIA AKILI...NA WENGINE KIDOGO WALIWE TIGO KWA TAMAA ZAO ZA KUJIFANYA MUCH KNOW MPAKA UGENINI.....
MWENGINE WALIMTELEKEZA KARACHI ANAANZA KULIA,,,MARA OOH BRO NISAIDIE TU NIRUDI HOME....WAKATI NILIMWAMBIA ASIENDE AKAJIFANYA MUCH KNOW......
OOOH MIMI STAR UTANIAMBIA NINI WEWE WAKUJA....
ALIPOFELI KARACHI FULL KUNIKILIA KSMA MTOTO THROUGH VIDEO CALL
STORY NI NYINGI ILA MDA MCHACHE...🤣🤣🤣🤣🤣
TUENDELEE NA MGANGA MIKUFU MZEE WA KUSLIDE 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halua haluaa.
 
Tatizo watu wanaunganisha ugay na tamaa ya kupata pesa wakat stage hiyo imeanza kupita kuna magay kibao wao ndo wana mihela na wanahonga hela wapelekewe moto.
Bora usemee wewee, ndo maana tunaojua mambo tunabakii kutazamaa na kusema "heheheh halllowwww"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…