Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Nashukuru umeutafuta ukweli, Asante.
 
Mc washawasha au
 
Umekazana "ulikuwa mdogo, ulikuwa mdogo", Huyo mzee wako simfahamu, nyumba ile pale unayoisema watu wote nawafahamu sana wa miaka hiyo. Hiyo nyumba inatazamana na kiwanja nilichokuwa nakwenda kucheza netball enzi hizo.

Nyumba ya nyuma ya fire naifahamu miaka hiyo, mwenyewe anaitwa Ahmed Masoud na ndiye pia alikuwa na Petrol station opposite na fire station. Na yeye huyu alikuwa Myemen, alipoondoka aliwaachia akina Akrabi, hawa walitokea Mwanza, na hapo pakawa miaka hiyo ya 70 panaitwa Black September, nawakumbuka vijana wote wa pale. Wengine waliotangulia Mwenyezi Mungu awarehem.

Miaka hiyo mimi nakwenda Disco Africana na Bahari beach, kijana mbichi. Kama alikuwa rafiki yake ni Zahir Zorro huyo siwezi kumfahamu, madensi yao yalikuwa ya kishamba, sisi watoto wa Kariakoo tulikuwa na hadhi, tunakwenda sehemu za heshima yake na family zetu.

Lakini ntawauliza wazee wenzangu wa zamani labda watamkumbuka watanielekeza vizuri.

Mpaka sasa watu wa enzi hizo Waarabu wanaoitwa Abdul Kareem nimewakumbuka wawili, mmoja ni cousin wake huyu Naibu Spika wa bunge Azzan Zungu, huyu alikuwa anakaa mtaa wa Amani Kariakoo. mwengine alikuwa anaitwa Abdul Kareem macho ya paka, huyu alikuwa mkubwa sana kwetu, huyu ni mbulushi, siyo Mwarabu, jamaa yzake kina Rostam Aziz. Huyu alikuwa Kariakoo Aggrey lakini akipita sana huo mtaa unaosema alikuwa na ndugu zake kule mbele mtaa wa Mindu.

Anyway umenipa homework, ngoja niifanyie kazi. Umenikumbusha mbali sana kijana. Mwaka huo wa 1974 mimi nimeondoka Tanzania kuelekea ughaibuni., December 9 naikumbuka.
 
Natamn nikufolow kabisa ili ukileta ubuyu niwe naupat on time, tatiz JF hawajaweka iyo setting ya notfication[emoji26],, mara moja moja uwe unaniita maana mi ni mdau wako japo kuwa huwa napita kmy kmy[emoji81]
🤣🤣🤣
Asante Winnone
Naona umenifollow tayari, nashindwa kukuahidi kukutag maana huwa nasahau mwaya.
Kwakuwa unanifollow itakuwa rahisi…
Cheers
 
Sasa ukianzisha thread uwe unaniita basi na wewe.
Yani hadi zinafungiwa mi sijui jamani? Uko serious kweli Mkuu?

Haya tuendelee na zee la ganda la ndizi 🤣🤣
Hivi enzi zile yule dada mzuri aliyekuwa anaigiza kama mpenzi wake Naro alipiga kweli au?
Yule nae alikuwa maharage sana, nilipewa story zake na wadogo zake na yule mganga wake wa Kisukuma aliyefariki nilichoka!
 
Utawala huu wa kiujanja janja anaweza akatoka..na akitoka huyo mama atamfanya kitu mbaya.

Kwann naye jamaa kakosa utu namna hii?
Kama kampa maisha, anapungukiwa nini akimpambania huyo mama aisee! Nimemionea huruma sana huyu mama.
Nimepata habari hapa kwamba ameshatoka, ndio nipo nafuatilia nitaleta uthibitisho.

Mkuu unamuonea huruma Salma? Unajua kaumiza watu kiasi gani hadi ndugu zake wa damu?
Unajua kavunja ndoa ngapi za mashoga zake?

Nikujuze tu Asha Baraka hana hamu nae!
 
Nifah unajua kuweka story kiutamu, very attractive to read..!!

Mashangazi watamu sana, na mimi huwa najua sehemu yao moja ukipatia vizuri, basiiii utakula mema yote ya dunia hii, utaona raha zisizo elezeka, walaah..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…