Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mimi huwa najiuliza, wanaanzaje? Dah 😭
 
Ni mental issue pia.
 
Kabisaa hata sisi watoto wenu tuliozaliwa na kukulia mitaa ya Kkoo late 70's na early 80's wengi tunajuana na connection bado zipo.
Yeah, mpaka wanangu nimewazaa nje ya Tanzania lakini wana marafiki wengi Kariakoo mpaka nashangaa wamejuwana lini, na wao wakija wakikaa sana ni mwezi.

Nikipita mara nasikia "maza wake ... Salaam Aleikum", hee, we unamjuwa ... wananambia sana tu.

Vijana kujuwana wepesi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…