Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #541
Mimi huwa najiuliza, wanaanzaje? Dah 😭Huyu mtu namheshim sana hasa kile kipindi chake cha asubuhi jumapili pale clouds Cha jicho la tofauti!!
Kuna wengine Wana tatizo la hormones Sasa sijui na huyu nae!!
Mi kina chonishangaza mtu mwenye akili timamu anawezaje ku disa mbele ya mwanamme mwenzake!!hapo tu!!