Hamna wenyeji wale wa zamani, wamejaaa wageni watupu, mimi wazazi wangu baadae wakahamia pale Breweries Flats miaka ya late 70's na mimi ndio nikazaliwa hapo. Ila namshukuru Mungu nilibahatika kuiona Kariakoo ile na nakumbuka Baba yangu kijiwe chao baadae kilikuwa pale alipokuwa anakaa Zungu jirani na Uhuru Girls...Dah, mitaa hiyo nawajuwa wote wa zamami. Sasa hivi bado kuna wa zamani kweli, si maghorofa matupu hapo, matairi kwa wingi.
Sana mkuu😅😅Unacheeka
Okay, ukawa mtoto wa mishen kota. Ndiyo maana unamfaham Jerry, diwani wenu.Hamna wenyeji wale wa zamani, wamejaaa wageni watupu, mimi wazazi wangu baadae wakahamia pale Breweries Flats miaka ya late 70's na mimi ndio nikazaliwa hapo. Ila namshukuru Mungu nilibahatika kuiona Kariakoo ile na nakumbuka Baba yangu kijiwe chao baadae kilikuwa pale alipokuwa anakaa Zungu jirani na Uhuru Girls...
Unajishaua tu mbele za watu, mwemyewe unaliwa.MAuno feni unayo?
Hahahaha, simkumbuki vizuri. Riyami alikuwa mtu poa sana...kuna mshkaji wao mwingine jina limenitoka ila namkumbuka kwa jina la utani la "Mr Young" kafariki mwaka jana. Najua utakuwa unamfahamu tu.Okay, ukawa mtoto wa mishen kota. Ndiyo maana unamfaham Jerry, diwani wenu.
Pale Livingston na Tandamti siku za mwisho mwisho maarufu alikuwa Da Joha, unamfaham? Na yeye akahamia mitaa ya Sea View.
Mie namfahamu mamshikaji wake, Hadi, wa mishen kota, siku hizi anakaa Temeke. Pia rafiki yake sana Zungu.Hahahaha, simkumbuki vizuri. Riyami alikuwa mtu poa sana...kuna mshkaji wao mwingine jina limenitoka ila namkumbuka kwa jina la utani la "Mr Young" kafariki mwaka jana. Najua utakuwa unamfahamu tu.
Nikikumbuka ile "Love" ya wazazi wetu na watu wenyewe ya kipindi kile huwa naumia sana roho..Ulikuwa upendo wa kweli sanaa. Haikujali Dini wala kabila.Okay, ukawa mtoto wa mishen kota. Ndiyo maana unamfaham Jerry, diwani wenu.
Pale Livingston na Tandamti siku za mwisho mwisho maarufu alikuwa Da Joha, unamfaham? Na yeye akahamia mitaa ya Sea View.
Nakukufollow juu mkuuKaribuni 🫶✌🏽🥂
Kweli kabisa, wametuharibia sana jiji letu wakuja.Nikikumbuka ile "Love" ya wazazi wetu na watu wenyewe ya kipindi kile huwa naumia sana roho..Ulikuwa upendo wa kweli sanaa. Haikujali Dini wala kabila.
Mi nakula wazee kama wewe halafu mtu kueleza hisia zake hadharani ndo analiwa basi nikubalie uone hizo rangi rangiUnajishaua tu mbele za watu, mwemyewe unaliwa.
.warangi rangi huwa hamjifichi.
Wewe unavyoongeabt6 tushakujuwa wa kuliwa tu.Mi nakula wazee kama wewe
🤣 pampers unavaa wewe na uzee wako nipe tunda nikumwage mkojo huoWewe unavyoongeabt6 tushakujuwa wa kuliwa tu.
Hata kujitutumua huwezi, labda uvae pampers.
Unaonesha mbebdembende, mforojo.
kweli sana mkuu....miaka hiyo nimekulia pale aggrey mwishoni karibuni na chalinze lkn tulikuwa tunajuana karibia nusu ya kuanzia fire mpaka GerezaniNikikumbuka ile "Love" ya wazazi wetu na watu wenyewe ya kipindi kile huwa naumia sana roho..Ulikuwa upendo wa kweli sanaa. Haikujali Dini wala kabila.
Of course wengi walikuwa na makandokandoSema wengi ilikuwa kweli wapigaji. Unakuta dogo wa TPA ana beach plots zaidi hata ya 20 kwa bei ya 50m kila moja hadi unashangaa....
Ni hivyo ila hata hayo maigizo yake sikuwai kuona.Sio kwamba ni alipewa hilo jina kutokana na uhusika aliokuwa nao katika maigizo zamani?
Hii wengi ukiwaambia saivi wanabishakweli sana mkuu....miaka hiyo nimekulia pale aggrey mwishoni karibuni na chalinze lkn tulikuwa tunajuana karibia nusu ya kuanzia fire mpaka Gerezani
Mnoo, sema nashukuru Mungu wengi ambao tumebaki hadi sasa bado tunashow love kila tukikutana.Kweli kabisa, wametuharibia sana jiji letu wakuja.