Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Hamna wenyeji wale wa zamani, wamejaaa wageni watupu, mimi wazazi wangu baadae wakahamia pale Breweries Flats miaka ya late 70's na mimi ndio nikazaliwa hapo. Ila namshukuru Mungu nilibahatika kuiona Kariakoo ile na nakumbuka Baba yangu kijiwe chao baadae kilikuwa pale alipokuwa anakaa Zungu jirani na Uhuru Girls...Dah, mitaa hiyo nawajuwa wote wa zamami. Sasa hivi bado kuna wa zamani kweli, si maghorofa matupu hapo, matairi kwa wingi.