Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Dah, mitaa hiyo nawajuwa wote wa zamami. Sasa hivi bado kuna wa zamani kweli, si maghorofa matupu hapo, matairi kwa wingi.
Hamna wenyeji wale wa zamani, wamejaaa wageni watupu, mimi wazazi wangu baadae wakahamia pale Breweries Flats miaka ya late 70's na mimi ndio nikazaliwa hapo. Ila namshukuru Mungu nilibahatika kuiona Kariakoo ile na nakumbuka Baba yangu kijiwe chao baadae kilikuwa pale alipokuwa anakaa Zungu jirani na Uhuru Girls...
 
Okay, ukawa mtoto wa mishen kota. Ndiyo maana unamfaham Jerry, diwani wenu.

Pale Livingston na Tandamti siku za mwisho mwisho maarufu alikuwa Da Joha, unamfaham? Na yeye akahamia mitaa ya Sea View.
 
Hahahaha, simkumbuki vizuri. Riyami alikuwa mtu poa sana...kuna mshkaji wao mwingine jina limenitoka ila namkumbuka kwa jina la utani la "Mr Young" kafariki mwaka jana. Najua utakuwa unamfahamu tu.
 
Mie namfahamu mamshikaji wake, Hadi, wa mishen kota, siku hizi anakaa Temeke. Pia rafiki yake sana Zungu.
 
Okay, ukawa mtoto wa mishen kota. Ndiyo maana unamfaham Jerry, diwani wenu.

Pale Livingston na Tandamti siku za mwisho mwisho maarufu alikuwa Da Joha, unamfaham? Na yeye akahamia mitaa ya Sea View.
Nikikumbuka ile "Love" ya wazazi wetu na watu wenyewe ya kipindi kile huwa naumia sana roho..Ulikuwa upendo wa kweli sanaa. Haikujali Dini wala kabila.
 
Sio kwamba ni alipewa hilo jina kutokana na uhusika aliokuwa nao katika maigizo zamani?
Ni hivyo ila hata hayo maigizo yake sikuwai kuona.
Sanasana alikua mtu peace tu.
Na datsun yake pick-upp hana hela yoyote.
Badae ndio kampata huyo maza Ilala.
 
Back
Top Bottom