Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mke nae wa kumlaumu ..si alikula viapo...
Afu mbona sisi watoto wa mjini wanawake hawatusumbui kama hao wakuja....🀣🀣
Haya mambo bwana sio ya kumlaumu mtu, huwezi jua kwanini ameamua kufanya hivyo, ndoa zina siri.

Wewe hujakutana na pasua kichwa, kama mpaka Rais anapasuliwa kichwa itakuwa wewe mtoto wa mjini? Usiniulize ni Rais gani πŸ˜†
Ni Putin 😜
 
Haya mambo bwana sio ya kumlaumu mtu, huwezi jua kwanini ameamua kufanya hivyo, ndoa zina siri.

Wewe hujakutana na pasua kichwa, kama mpaka Rais anapasuliwa kichwa itakuwa wewe mtoto wa mjini? Usiniulize ni Rais gani πŸ˜†
Ni Putin 😜
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ruksa alipasuliwa kichwa na S......!!
Baba wawili alipasuliwa kichwa na S....!!
Daktari alimdandia shemeji yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakazaa dogo
Ticha yeye alisusa ndoa,,,kwa M...!!!
Mzee wa tungi na yeye alisusa ndoa 🀣🀣🀣..
Komandoo eti alikua chaji ya pweza...
 
Kumbe ndio maana kila chocho ulikuwa unakutana na mganga mikufu lenu moja? πŸ˜„πŸ˜„

Mama Zuchu mtoto wa mjini yule, ila ndio hivyo.
Tumuache bwana mi nampenda.
 
Naona tu umeweka majina na sura zako hapo. Na foot prints zako za online tunajua upon tmk 😁😁. Tutakufuata ili ukatupe polisi ushirikiano 😁😁
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ tuendelee na udaku mkuu.....ushirikiano tunatoa sana kwa kua sis ni wazalendo mkuu
 
Leo nimeshakuambia kichwa changu hakiko sawa, usinipasue!
Wala sihangaiki kuzijua, woiiiiiiiii.
 
Wapi Baucha records!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…