Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Mdogo wangu mpana sana wewe 🤣🤣😂😂Sasa nifanyeje jamani? Si unataka twende kwa codes? 😆
Hiyo studio nimeshaijua, ilikuwa barabarani kabisa pale, mi nimeishi sana pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wangu mpana sana wewe 🤣🤣😂😂Sasa nifanyeje jamani? Si unataka twende kwa codes? 😆
Hiyo studio nimeshaijua, ilikuwa barabarani kabisa pale, mi nimeishi sana pale.
Naona tu umeweka majina na sura zako hapo. Na foot prints zako za online tunajua upon tmk 😁😁. Tutakufuata ili ukatupe polisi ushirikiano 😁😁Mkuu nimetaja jina la mtu kwani???
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya mambo bwana sio ya kumlaumu mtu, huwezi jua kwanini ameamua kufanya hivyo, ndoa zina siri.Mke nae wa kumlaumu ..si alikula viapo...
Afu mbona sisi watoto wa mjini wanawake hawatusumbui kama hao wakuja....🤣🤣
Nipo buza kwa lulenge mda huu nakunywa cha kupima....nafurahia sikukuuu mkuu.Naona tu umeweka majina na sura zako hapo. Na foot prints zako za online tunajua upon tmk 😁😁. Tutakufuata ili ukatupe polisi ushirikiano 😁😁
😂😂😂😂Haya mambo bwana sio ya kumlaumu mtu, huwezi jua kwanini ameamua kufanya hivyo, ndoa zina siri.
Wewe hujakutana na pasua kichwa, kama mpaka Rais anapasuliwa kichwa itakuwa wewe mtoto wa mjini? Usiniulize ni Rais gani 😆
Ni Putin 😜
Kumbe ndio maana kila chocho ulikuwa unakutana na mganga mikufu lenu moja? 😄😄TUMERUKA SANA NA MISHANGAZI....
Na wengine wamekua wanatoa service kwa michicha mwiba.
MWANANGU MMOJA HV ANAIMBA BONGO FLAVA ALISEMA LIVE REDIONI ANAMZIMIA MAMA ZUCHU 🤣🤣😂😂😂 KIPINDI CHA UMBEA WA KINA SUDDY BROWN.🤣🤣😂😂
Kikubwa tuishi tu[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetisha mdau
Dah ila inaumiza....nimewaza kuvaa viatu vya mama yake naona kabisa kupoteza uhaiPoleni Ila ni story tu. Usichukulie serious sana maana mwisho wa siku kila mtu ana dark side yake
😁😁 usianze kupoa mkuu, sina maajabu.. Kheri ya mwaka mpya in advanceNipo buza kwa lulenge mda huu nakunywa cha kupima....nafurahia sikukuuu mkuu.
😂🤣🤣🤣🤣 tuendelee na udaku mkuu.....ushirikiano tunatoa sana kwa kua sis ni wazalendo mkuuNaona tu umeweka majina na sura zako hapo. Na foot prints zako za online tunajua upon tmk 😁😁. Tutakufuata ili ukatupe polisi ushirikiano 😁😁
Mm nipoe mkuu 🤣🤣😂😂😁😁 usianze kupoa mkuu, sina maajabu.. Kheri ya mwaka mpya in advance
Leo nimeshakuambia kichwa changu hakiko sawa, usinipasue!😂😂😂😂
Ruksa alipasuliwa kichwa na S......!!
Baba wawili alipasuliwa kichwa na S....!!
Daktari alimdandia shemeji yake😂😂😂😂😂 wakazaa dogo
Ticha yeye alisusa ndoa,,,kwa M...!!!
Mzee wa tungi na yeye alisusa ndoa 🤣🤣🤣..
Komandoo eti alikua chaji ya pweza...
Wapi Baucha records!😂🤣🤣🤣🤣 niffah mpana sana..
Eti washua wake walifadhili uhuru.
Kariakoo enzi zile kila nyumba kuna msanii.
Hapana msanii wako pendwa ni mtoto wa mama hawezi kwenda front ila mshirikina sana.
Wale madogo nitaharibu code nikiwaweka wazi,,ila jua tu ni wale madogo wanaokaa kule nyuma ya club ya Yanga...
Na mmojawao bro wake alikua na recording studio migomigo
Umepiga vitu vigumu leo 🤣🤣Leo nimeshakuambia kichwa changu hakiko sawa, usinipasue!
Wala sihangaiki kuzijua, woiiiiiiiii.
Bas baadae mdogo wangu..Wala hata, situmii kabisa.
Basi tu mambo mambo...