Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Iweke, tusafishe macho.
Uifanyie kazi, siyo kiwepesi namna hiyo. Pitia uzi huu utaikuta:

 
We utakuwa unamjuwa smbdy slm yuko kko ,Somali St

Ova
 
Wewe ni miongoni mwa wanawake wa mwanzoni kunivutia kujiunga na huu mtandao..ukweli uweke wazi mimi ninakuheshimu licha ya watu wengi kukudhihaki... MUNGU atujaalie mwisho mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah!....huko ni ngumu kuiona.


Iweke tu hapa bhana ....tuone kama kweli yaliyomo yamo.
 
Leta ubuyu mkuu...

Ubuyu hauna chama..[emoji1]
 
Watu kama wewe mna manufaa makubwa hapa JF licha ya watu kuwachukia sana.

Mna taarifa nyingi za ma celebrities wengi ambao kuzipata hivi hivi ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…