Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjengo upi clouds auJux analiwa na boss pale kwa hotel iliyo pembezoni na bahari, tena sio yeye had rafik ake wa pemba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kisa cha mwanzo kuachana na vee? Had kuombana radhi fiesta 2017 km sio 2018, moro na Dar??
Bas walishare bwana kutoka mjengoni.
TrueKabisaaa kila mtu ana dark side yake, hata hao wazazi wana yao pia.
Iweke, tusafishe macho.Nifah kumbe hujaniona? Toto la kishombe la haja, si mchezo mchezo. Mbona picha yangu niliiweka JF.
Nikuwekee?
Uifanyie kazi, siyo kiwepesi namna hiyo. Pitia uzi huu utaikuta:Iweke, tusafishe macho.
We utakuwa unamjuwa smbdy slm yuko kko ,Somali StYeah, mpaka wanangu nimewazaa nje ya Tanzania lakini wana marafiki wengi Kariakoo mpaka nashangaa wamejuwana lini, na wao wakija wakikaa sana ni mwezi.
Nikipita mara nasikia "maza wake ... Salaam Aleikum", hee, we unamjuwa ... wananambia sana tu.
Vijana kujuwana wepesi sana.
Wewe ni miongoni mwa wanawake wa mwanzoni kunivutia kujiunga na huu mtandao..ukweli uweke wazi mimi ninakuheshimu licha ya watu wengi kukudhihaki... MUNGU atujaalie mwisho mwema.Uifanyie kazi, siyo kiwepesi namna hiyo. Pitia uzi huu utaikuta:
Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo. Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.www.jamiiforums.com
Aaah!....huko ni ngumu kuiona.Uifanyie kazi, siyo kiwepesi namna hiyo. Pitia uzi huu utaikuta:
Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo. Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.www.jamiiforums.com
Hilo neno kutowa nilidhani umekosea, nimeingia kwenye kamusi, yaani tunaondika kutoa tunakosea, asante kwa elimuSiyo gubu, nishaanza kutowa elimu ambayo walimu wake, majuha kama yeye, hawakumfundisha.
Nimeamua kusoma comments zote, naambulia kutambua codes chache sana. Wa huko Dsm mna mengi sanaHuyo huyo msimamizi wa dogo mla cocaine first grade
Hapo ndipo nimeelewa sasa, ni Hija MinaraZaylisa pia simjui. Anyway, just leave it!
Elimu ya kiarabu au?????Siyo gubu, nishaanza kutowa elimu ambayo walimu wake, majuha kama yeye, hawakumfundisha.
Ma shaa Allah.Elimu ya kiarabu au?????
😂😂🤣🤣
Kuna siku alikuwa anahojiwa, anadai alidundulizq akiwa msanii akanunua Hiace yake ya kwanzaNdio najua leo haya jamani, Mimi najuaga chenj ni mc na muigizaji
[emoji23][emoji23][emoji119]Asante kwa Bandiko Mkuu.
UBUYU HAUNA CHAMA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Leta ubuyu mkuu...Wewe mjengoni wamejaa wazibua mtaroo, akat had mtumbuliwa kwenye muhimili unaojitegemea ni mdau, tena yeye akiingiza tako 3 kamwaga wazanaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sio ke wa me wote anapita nao.
Kawamaliza watoto wa CBE na mipango.
Watu kama wewe mna manufaa makubwa hapa JF licha ya watu kuwachukia sana.Jux analiwa na boss pale kwa hotel iliyo pembezoni na bahari, tena sio yeye had rafik ake wa pemba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kisa cha mwanzo kuachana na vee? Had kuombana radhi fiesta 2017 km sio 2018, moro na Dar??
Bas walishare bwana kutoka mjengoni.
SHangazi kazeeka unazidi kumchanganya.Shangaziii ulipoteleaa wapiiii?
Kuna kipindi nilihitaji uwe mfariji wangu, ila ndo hivyo nimepoaa sasa.
Sope ni jumapili ya Manchester. [emoji23][emoji23][emoji23]