Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Eeeeh mwaya.
Ila wanaume wabaya sana, ujue sijataka kuandika ambavyo ana chumba chake maalum katika hoteli moja kubwa mjini hapa cha kufanyia ufirauni wake...
Halafu na vitoto vidogo, anaweza kulala nao hadi watatu kwa siku.
NIFA AU UNAMSEMA MZEE WA THREE SOME MH LION CH......!!!!
MZEE WA THREESOME NA BACK BENCHA KWA DAU LA LAKI 9 AFU KAVU!!!
AFU ODER VITOTO UNDER 20,S....🤣🤣😂😂DALALI SALMA MUNGU ANAMUONA KWA KUWAUZA MADOGO WA VYUO PALE C...E NA I......M.
DAR NI PALE HOTEL H......
DOM NI PALE HOTEL P......
WAZEE WA WA KUKESHA TELEGRAM CONECTION,S VIP,S GROUP'S WANAELEWA!!
 
Mhhhhhhh hii ni mpya kwangu!

Huyo bongo movie mwenye duka la nguo mwenye bifu sijafungua code yake...

Kumbe shangazi alikuwa hot cake? Tutafute hela jamani!
Shangazi hata meno mdomoni hana 😆 😆
 
Wewe? Kumbe Mh naye yumo? Tumekwisha!

Dalali ni Salma huyuhuyu aliyeko jela?
Dah
 
Mhhhhhhh hii ni mpya kwangu!

Huyo bongo movie mwenye duka la nguo mwenye bifu sijafungua code yake...

Kumbe shangazi alikuwa hot cake? Tutafute hela jamani!
Shangazi hata meno mdomoni hana 😆 😆
DUKA LIPO PALE VIJANA KINONDONI PEMBENI YA MUDY SOUND...
SHANGAZI ALIKUA HOT CAKE SEMA MGANGA MIKUFU ALIJUA KUCHEZA NA NDUMBA VIZURI KUWAZIDI WENZIE 🤣🤣🤣
KIGOSI HANA HAMU 🤣🤣🤣
 
Dah, umenikumbusha rafiki yangu utotoni, Salma. Hivi yuko wapi jamani, sijamuona miaka?

Salama siamini kama kawa tapeli namna hiyo, labda ametumiwa na matapeli kwa umaarufu wake, maana Salma namfahamu ni mtoto wa Kariakoo hapo mtaa wa Mafia na Manyema na ni maarufu sana, hakuna mtu wa zamani waa Katriakoo asiyemfahamu.

Hebu nipe habari zake, huyo kijana si mjukuu wake Salma jamani, siyo mtoto wa binti yake Mariam huyo?
 
KUNA CHIMBO VIP LA HUDUMA KWA MEMBA TU WADAU TULIKUA TUNAPISHANA NA MGANGA MIKUFU..
KIINGILIO UNALIPIA KADI MWAKA MZIMA MILIONI MOJA NA LAKI SITA...
UKITAKA KADI VIP MILIONI TATU..
AFU SERVICE UNALIPIA KUTOKANA NA CLASSIC YA WATOA HUDUMA KUANZIA LOCAL MPAKA WA KIMATAIFA...
WATOTO WOTE PISI KALI WA MJINI WAPO HUKO NA WASHUA WOTE WANAENDA KUFANYIWA MASAJI HUKO...
ILA KUNA PROTOCAL LAZIMA UFUATE ILI KULINDA PRIVATE ZA WAHUSIKA...
I MEAN WAUZAJI NA WANUNUZI....
SASA MGANGA MIKUFU TUMEGUMIANA SANA KULE ILA NDIO HIVYO KILA MTU ANAFUATA YANAYOMUHUSU...
HATA YULE MCHUNGA KONDOO WA KULE KAWE M.....
TUMEGUMIANA SANA HUKO KILA MMOJA AKIJISEVIA ODER YAKE..
WALE WAZEE WA VIP DELVERY WANANIELEWA 🤣🤣😋
 
Kumbe wewe kikongwe bby????
🤣🤣🤣🤣
 
Nimecheka sanaaaaaaaa!

Ndio hivyo Salma amegeuka tapeli la kutisha kuliko matapeli wenyewe mjini hapa.
Anauzia watu magari hewa, anakudanganya anakuuzia gari ila hutokaa ulione! Sasa anawadanganya vipi sijui!

Pia anakopesha watu pesa, kwa kuweka rehani magari. Kisha siku ya kulipa deni kwa mujibu wa mkataba , anajificha hadi tarehe ya kulipa mkopo inapita na gari iliyo rehani inakuwa mali yake. Baadhi ndizo alizompa Dr. Cheni kama mtaji wa biashara ya magari.

Sasa kesi za nyumba za huko kwenu Kariakoo ndio balaa! Kawaliza watu huko sana.
 

Attachments

Mara ya mwisho nilikuja Tanzania akanialika kwake, alikuwa kahama Kariakoo anakaa Upanga njia ya kwenda Muhimbili, nyumba za msajili, sijui siku hizi mnaita National Housing, zilizokuwa za wahindi zamani, nyumba nzuri tu ilikuwa/ Hiyo miaka mimgi sana nyuma.


Huyo kijana watu wanamzulia tu, ni mjukuu wake mtoto wa Mariam huyo, nilikiona kilivyokuwa kidogo pale Upanga.

Haya nambie Salma yuko wapi sasa, ndiyo ana kesi au kafungwa, masikini rafiki yangu. Habari nzito hii kwangu.

Namfahamu yeye namfahamu nadhani ndugu yake yule au babake mdogo, sina uhakika, anaitwa Dr. Kesi Mtambo, alikuwa Daktari wa Nyerere enzi hizo akawa ndiye daktari pekee wa acupuncture Tanzania nzima enzi hizo, alipelekwa China kusomea., sijui bado yu hai maana alikuwa mtu mzima.

Pia namfahamu ndugu yake anaitwa Mboni, nadhani cousin wake huyu, aliokuwa Air Tanzania ilipoanzishwa tu, nadhani aliwahi kuwepo East African Aurways, namfahamu pia mdogo wake anaitwa Mhando, alikuwa mtundu mtundu sana tunamtania "kumi na moja kasoro 25a'. Miguu yake ilivyokaa, sijui yuko wapi masikini ya Mungu, Kariakoo hakuna asiyemjuwa, nikipita kariakoo akiniona hata wapi huko, lazima aje, Ahhh sister wangu leo nimekuona umetokea kama nyota ya jaa, leo watanikoma mtaani, lazima nideke sana tu.


Nipe habari za ndugu yangu Salma na Mariam mwanawe.

Siamini kama Salma ni tapeli, nafahamu kuwa ni mwanamke jasiri na mchapa kazi. Huyo itakuwa katumiwa tu na wauza magari na madalali wa nyumba kwa umaarufu wake.

Mimi nakumbuka alikuwa dalali mzuri wa nyumba za msajili tu, ilikuwa ukitaka nyumba za msajili enzi hizo, ukimuona Salma ana connections zake msajili huko, hukosi nyumba.

Mwenyezi Mungu amsaihilishie na amtowe kwenye majanga, atakuwa ni mtu mzima sana sasa.
 
DUKA LIPO PALE VIJANA KINONDONI PEMBENI YA MUDY SOUND...
SHANGAZI ALIKUA HOT CAKE SEMA MGANGA MIKUFU ALIJUA KUCHEZA NA NDUMBA VIZURI KUWAZIDI WENZIE 🤣🤣🤣
KIGOSI HANA HAMU 🤣🤣🤣
Wewe, nimeishi hayo maeneo ujue? Nyumba moja na Ben Kinyaiya…

Hilo duka bado sijalijua vizuri, dah!

Kumbe Kigosi nae alitaka ufalme kwa jishangazi? 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…