Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Wewe jamaa una mastori mengi ya town, napenda sana nyama unazoongezea kwenye nyuzi pendwa za Nifah

Nyie mtu 3 ni tunu hapa jf katika ubuyu wa celebs. Sipati picha mkipiga colabo na cocastic
Cocastica mwanangu sana pande za mlimani city...
Tatizo yeye slay queen wa kishua 🤣🤣
 
Wewe jamaa una mastori mengi ya town, napenda sana nyama unazoongezea kwenye nyuzi pendwa za Nifah

Nyie mtu 3 ni tunu hapa jf katika ubuyu wa celebs. Sipati picha mkipiga colabo na cocastic
Kwakweli hata mimi ananikosha sana, bado yule mwingine sikumbuki ID yake aje huenda ana lolote.
 
NALETA NIFAH....
SIKU HIYO NIPO MITAA YA KIJICHI BAR FLAN HV NAWEKA DILI ZANGU SAWA.
MARA DAKTARI MIKUFU ANAINGIA NA MTOTO MKALI ENEO NILILOKUWEPO.
DUUUH NIKAONA DAKTAR MIKUFU YUPO VIZURI NA WATOTO...WA KIKE.
MDAU AKANIAMBIA KUA DAKTARI MIKUFU CHAKULA CHA WATU....
ANALIKA YAANI MCHICHA MWIBA ......ILA NDIO HIVYO KIMYA KIMYA KAMA ILIVYO MTOTO WA NYEMBO NA MABASHA ZAKE WA KIARABU PALE KKOO
🤣🤣🤣
AFU SALMA WATOTO KIBAO WAUZA SURA WA KINONDONI WALIKUA WANAMVIZIA AWALEE,,,,HASA WALE BONGO MUVI WENYE BIFU MMOJA ANA DUKA LA NGUO.
NA YULE ANAEJIFANANISHA NA KANUMBA....
WAUZA SURA KIBAO WALIKUA WANAJIPENDEKEZA KICHIZI KWA YULE MSHANGAZI WA MJINI....
Unatupigia kelele wewe fala, tumia casing za kawaida.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mmhh...ana mke anakaa huku vingunguti karibu na PMM nilikua namuoneaga mara nyingi nyumba nzuri kushinda zote ndo yake!!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwakweli hata mimi ananikosha sana, bado yule mwingine sikumbuki ID yake aje huenda ana lolote.
Nipo kisangani...nikirudi bongo...nakuletea uzi kamili wa mdau anaekula cocaine first grade...
Wamemgeuza teja ili wapige hela zake kirahisi....
Afu ni mchicha mwiba pia..
ASILIMIA 35% YA WABANA PUA NI MCHICHA MWIBA...
 
NALETA NIFAH....
SIKU HIYO NIPO MITAA YA KIJICHI BAR FLAN HV NAWEKA DILI ZANGU SAWA.
MARA DAKTARI MIKUFU ANAINGIA NA MTOTO MKALI ENEO NILILOKUWEPO.
DUUUH NIKAONA DAKTAR MIKUFU YUPO VIZURI NA WATOTO...WA KIKE.
MDAU AKANIAMBIA KUA DAKTARI MIKUFU CHAKULA CHA WATU....
ANALIKA YAANI MCHICHA MWIBA ......ILA NDIO HIVYO KIMYA KIMYA KAMA ILIVYO MTOTO WA NYEMBO NA MABASHA ZAKE WA KIARABU PALE KKOO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AFU SALMA WATOTO KIBAO WAUZA SURA WA KINONDONI WALIKUA WANAMVIZIA AWALEE,,,,HASA WALE BONGO MUVI WENYE BIFU MMOJA ANA DUKA LA NGUO.
NA YULE ANAEJIFANANISHA NA KANUMBA....
WAUZA SURA KIBAO WALIKUA WANAJIPENDEKEZA KICHIZI KWA YULE MSHANGAZI WA MJINI....
Sasa hizi ni code? Mbna simple tyuuh.
Km ni Dr mikufu na huyo the greatest si walisha share bwana kutoka mjengoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara ya mwisho nilikuja Tanzania akanialika kwake, alikuwa kahama Kariakoo anakaa Upanga njia ya kwenda Muhimbili, nyumba za msajili, sijui siku hizi mnaita National Housing, zilizokuwa za wahindi zamani, nyumba nzuri tu ilikuwa/ Hiyo miaka mimgi sana nyuma.

Huyo kijana watu wanamzulia tu, ni mjukuu wake mtoto wa Mariam huyo, nilikiona kilivyokuwa kidogo pale Upanga.

Haya nambie Salma yuko wapi sasa, ndiyo ana kesi au kafungwa, masikini rafiki yangu. Habari nzito hii kwangu.

Namfahamu yeye namfahamu nadhani ndugu yake yule au babake mdogo, sina uhakika, anaitwa Dr. Kesi Mtambo, alikuwa Daktari wa Nyerere enzi hizo akawa ndiye daktari pekee wa acupuncture Tanzania nzima enzi hizo, alipelekwa China kusomea., sijui bado yu hai maana alikuwa mtu mzima.

Pia namfahamu ndugu yake anaitwa Mboni, nadhani cousin wake huyu, aliokuwa Air Tanzania ilipoanzishwa tu, nadhani aliwahi kuwepo East African Aurways, namfahamu pia mdogo wake anaitwa Mhando, alikuwa mtundu mtundu sana tunamtania "kumi na moja kasoro 25a'. Miguu yake ilivyokaa, sijui yuko wapi masikini ya Mungu, Kariakoo hakuna asiyemjuwa, nikipita kariakoo akiniona hata wapi huko, lazima aje, Ahhh sister wangu leo nimekuona umetokea kama nyota ya jaa, leo watanikoma mtaani, lazima nideke sana tu.

Nipe habari za ndugu yangu Salma na Mariam mwanawe.

Siamini kama Salma ni tapeli, nafahamu kuwa ni mwanamke jasiri na mchapa kazi. Huyo itakuwa katumiwa tu na wauza magari na madalali wa nyumba kwa umaarufu wake.

Mimi nakumbuka alikuwa dalali mzuri wa nyumba za msajili tu, ilikuwa ukitaka nyumba za msajili enzi hizo, ukimuona Salma ana connections zake msajili huko, hukosi nyumba.

Mwenyezi Mungu amsaihilishie na amtowe kwenye majanga, atakuwa ni mtu mzima sana sasa.
Mhando alienda Canada. Sijui yu wapi siku hizi. Alikua na usuhuba sana na kakaze rapper Saigon mtoto wa Sinza miaka mingi zamani.
 
Back
Top Bottom