Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Nifah vs FaizaFoxy
Nilidhani naijua Dar hivyo, kumbe hata mimi wa pori....
mrangi , pita uku utupe abc....
Dar ni kubwa sana, unaweza kuwa unaijuwa mitaa yako, anaeongolewa hapa ni mtu wa mtaani kwangu Kariakoo. Kariakoo wote na gerezani yake na Jangwani na Upanda kuanzia miaka ya 80 kwenda nyumma tulikuwa tunajuwana wote. Labda uwe wakuja, na hata wakuja tulikuwa tunawajuwa, si ndiyo wenyeji wao sisi.
 
Toka alivyoamua kua kontena...
Walimuharibu na kumrekodi video ili asitoe siri ya bosi wake.....
Rizi!!!
 
Toka alivyoamua kua kontena...
Walimuharibu na kumrekodi video ili asitoe siri ya bosi wake.....
Rizi!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wazee wa mjengoni wengi wanakula anti vidawa kisa wapate utajiri, udugu wa tz sweetheart hana hamu alichofanyiwa na mgeni mwenyeji wa kanda ya East,

Alichukua nyota zotee, mwenzake kila mda anashusha ndinga za kubeba watu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kongwa 🤣🤣🤣😂😂😂😂 alikua na kale kabinti kake ka CBE kanatoa service...kanakaa kule bunju ushuani.
Ila Kongwa kawala bongo muvi karibia wote kuanzia 2015.....alimrithi mzee wa tabasamu kwa kuwala bongo muvi
Mama ntilie wa dodoma anajua
 
🤣🤣🤣😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaaah
 
Mi hawa mashangazi sijui kama nitawaweza yaani mi bila kuwa na hisia na mwanamke siwezi kufanya nae chochote na nikijilazimisha basi baada ya hapo ntaenda kuoga maji lita 300 au kama ni mashuka ya ghetto nitaamka niyafue hata kama ni usiku wa manane
 
Asante..
Naijua upanga nje ndani miaka ya late 80s to 90s.... from Tambaza village family, ..to upanga west
Gerezani, Kidongo chekundu, na enzi za wachizi wa Roller Boogie, Bibi Arafa Madras mtaa wa Lindi, Kibwiku family, lakini nilkuwa bado mdogo sana,.
Nyie wa zamani, haya mtupe archives.....
 
Halafu hii story ya Ben ipo kitambo sana kuna ukweli? Jamaa nimeishi nae mtu poa sana masikini.
Nikawa namchora tu alikuwaga ananikubali mwenyewe angejua ni mbea niliyeshindikana 😆 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…