Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Allooo!!! mimi huwa sielewi Omar hana inshu ya maana anayofanya ila mara yupo Dubai, mara London, mara kaenda Manchester kumbe mwenzetu anafokolewa na Waarabu...!!!

Aiseeeeh!! Haya maisha ya mjini hapa acha nibaki Mbekenyera niendelee kulima ufuta tu.
Nyemo ni brand ambassador na creative director wa GSM lakini pia ana vijana wake wanapiga issue za advertising na marketing. Na hata hizo safari ashasema kuwa kuna baadhi huwa anaenda kama influencer

Yawezekana Dimpoz akasemwa kwa mengi ila kwa kazi zake tu nilizozitaja bila muziki, bado ana uwezo wa kuishi fresh tu mkuu
 
Motoni mtageuka 😁😁😁 ila nifah umelifufua hili jukwaa na wadau wengine walipotokea haifahamiki. Itabidi page za insta ziwe zinachukua humu ubuyu 😁
Acha tujipe raha Mkuu, mwisho wa mwaka huu tunamshukuru Mungu kwa mengi.
Acha tutulize akili.
 
Ila jamaa hadi leo nikimuangalia kuna nafsi huwa inakataa. Hana hata dalili moja na ni mtu wa family sana

Hopefully hayatomuwinda siku moja [emoji1431]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo la Bongo watu wamezoea kuwaona km kina delicious na aggrey ndo wanaamini, sasa hawa wavaa suti na muscular hawaamini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo la Bongo watu wamezoea kuwaona km kina delicious na aggrey ndo wanaamini, sasa hawa wavaa suti na muscular hawaamini.
Na hili ni tatizo kubwa sana naamin hizi issue ni kubwa kuliko watu wanavyowaza toka nisikie shekh anapumuliw na ba mo. na yule mamkiongoz ni blender mbovu nilisema aisee tuache kuhukumu watu kuna watu wanaonekana wasafii na wachaMungu kumbe ni wachafu kuliko tunavyowawazia
 
Nyemo ni brand ambassador na creative director wa GSM lakini pia ana vijana wake wanapiga issue za advertising na marketing. Na hata hizo safari ashasema kuwa kuna baadhi huwa anaenda kama influencer

Yawezekana Dimpoz akasemwa kwa mengi ila kwa kazi zake tu nilizozitaja bila muziki, bado ana uwezo wa kuishi fresh tu mkuu
Kwahiyo mwenetu ni kidume cha mbegu hapumuliwi?
 
Natumai sasa umeelewa
Nimesoma.

hiyo nyumba Katika maelezo yako nimeona kafungwa miaka 99 lakini katika zile nyaraka za mahakama naona ni kesi ya madai ya mirathi ya nyumba, ambayo mimi naifahamu, ndiyo walikuwa wanaishi hapo Kariakoo, nilisema juu huko Mboni ni cousin wake kumbe hapana, ni dada yake nimeona kwenye Nyaraka za Mirathi na ndugu yao mwengine niliyemtaja Mhando na yeye yumo kwenye nyaraka za mirathi.

Kwa hiyo nyaraka ulizoambatanisha hazuhusiani na kifungo unachokiongelea, yale ni mambo yao ya mirathi ya Kifamilia na sijui zinahusiana vipi na kifungo cha miaka 99 ulichokiainisha.
 
Back
Top Bottom