Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #461
Hivi hakuwahi kuolewa?Mahusiano ni kitu cha kawaida hicho, mwanamke hana mume na pesa anazo na kijana ana njaa, kibaya ni kuwa Mwanamke wa Kiislam iliytakiwa aolewe na asifanye zinaa na uasherati, tunafundishwa zinatia umasikini, na kilichompata ni ushahidi kamili kuwa uasherati na zinaa ni uchafu.
Unaijua story yake jinsi alivyoivunja ndoa ya shoga yake Asha Baraka?