AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 722
- 2,123
Hayo mengine ya kwako bibie... Mimi nimeshamaliza.Salma wala sikuwa na habari kama kafungwa mpaka nilipousoma uzi huu wa Nifah.
Mpaka sasa naamini alikuwa innocent, na nimejithibitishia hilo kwa kujiridhisha kuwa kweli alifungwa lakini kashinda rufaa yake na kaachiwa huru.
Kupiga hesabu ndiyo maarifa, usilishwe matango na kina #@Nifah hapa, si kama hivyo nimepiga hesabu na imeonekana kweli alikuwa na kesi za kubambikiwa. Na ushahidi wa kesi aliouleta Nifah post namba moja hauhusiani kabisa na kesi alizofungwa, hiyo aliyoweka attachment Nifah ni kesi ya ya madai ya mirathi.
Mpaka sasa Salma, mahakama zimeamuwa kuwa ni innocent, msimpakzie kijinga.
Uwe na wakati mwema.