Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

Wewe nae una kila file jamani? 🤣🤣🤣🙌🏾
Hapana 😁😁😁

Faiza fox ni moja ya members walinifanya niingie jf kipindi hicho ipo hot kwa mijadala mizito mizito.

So, huwa nafurahi kumuona humu na wengine kama kiranga, Mk254, fisadikuu, malcom lumumba, mshana jr etc

Kiufupi nawakubali sana
 
Ni nadra sana kukuta aliyefanikiwa kihalali.
Ila ndio hivyo, yote ni mafanikio.
Hata wewe kama ulishindwa kufanikiwa kwa Habibu Bakili anga .... Alias The bold....

Hakika maisha yako yakuwa ni ya kurandaranda kwa kuuza ubuyu(umbea)! Wa watu...

Umeshindwa kutulia kwenye ndoa mlee familia!...!?

Wanao-Oa... Acha waendelee kuoa! Tu...maana hakuna namna!... Kama wanawake wenyewe ndio type ya kina wewe!!
 
Sasa hayo yamekujaje hapa jamani?

Sikia Mkuu, usiongelee mambo ya watu usiyoyajua, maisha ya watu yana mengi.
Naomba niishie hapo.
 
Kama sijakosea Mhando amefariki miezi ya hivi karibuni na mwili uliletwa kutokea Amerika na tabibu Kesi Mtambo bado yu hai japo umri umesogea sana
Aaah dah sikupata hizi habari.
Maskini kumbe ashafariki..tena hivi karibuni nami sina habari.
Nimehuzunika sana. Njia yetu sote hiyo.
Alale pema salama!
 
Nimecheka sana.
Uza rafiki yangu uje tuzitumbue huku tunakula ubuyu, usisahau kuacha akiba nyumbani 😜
Hilo ni la lazima kabisa rafiki
Nataka unipeleke mpaka huyo Lulu nimuone live kiufupi na mama sanchoka naye unipeleke, pia nahitaji bodyguard si unajua tena mahindi huku yamekubali nikiuza tu mbona shangwe?
 
Halafu sio Bi Salma hata Marehemu Tanti boy Raisi wa Magomeni mcheck google alipita nae hata mkewe Mama yake yuko Marekani ana mtonyo.
Huyo mama mkwe wake na Dr cheni aliye Marekani ndio alikuwa anawafanyia mipango enzi hizo kwenda nn? Maana nakumbuka wakati wa msiba wa kanumba cheni aliongea issue kama hiyo alisema kuna mtu yupo kule huwa anawasaidia kupata Visa na alikuwa ameshamconnect kanumba apate Visa.
 
Hata wewe kama ulishindwa kufanikiwa kwa Habibu Bakili anga .... Alias The bold....

Hakika maisha yako yakuwa ni ya kurandaranda kwa kuuza ubuyu(umbea)! Wa watu...

Umeshindwa kutulia kwenye ndoa mlee familia!...!?

Wanao-Oa... Acha waendelee kuoa! Tu...maana hakuna namna!... Kama wanawake wenyewe ndio type ya kina wewe!!
kwani jamaa alioaga hii pisi kali ya magomeni...?
 
Ila Dr cheni alikuwa ameshajipata zamani.

Miaka ya 2010 mpaka 2017. Dr cheni ndie alikuwa Mc namba moja Tanzania kwa kupata kazi nyingi.. Mc Garab ndie aliekuja kumpora Dr Cheni hiyo nafasi mwaka 2017.

Swala la kipato cha milioni 20 kwa mwezi. DR cheni amepata zamani sana kwenye dili zake tu za u mc

DR cheni ameanza kujipata zamani sana kiuchumi. Amepiga sana hela kwenye U MC.

Kama instagram isingeruhusu kupost Video. Mpaka leo Garab mwenyewe angekuwa bado nyuma ya Dr cheni.

Garab kajua kuitumia instagram ilivyoruhusu video kwa kucheza na video nzuri za matukio ya harusi yake. Wakati huo Dr cheni amelalala anafanya kazi kwa mazoea anaiona insta ya watoto
+ marioo pia

Ova
 
Back
Top Bottom