Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
STORY NI NYINGI ILA MDA NI MCHACHE....
KATIKA WANANGU WATOTO WA MJINI NILIOKUA NAO.
TISA WAPO JELA UGHAIBUNI
WATATU JELA RSA
Maisha ni mapambano ila watoto wa mjini tunapambana vyovyote vile mradi tupate hela..
Wakitokea mashangazi tunaruka nao,,,zikitokea dili chafu tunaruka nazo,,,mradi mambo yaende na ndicho kilichowakuta wanangu...
Simshangai mganga mikufu kujiweka kwa shangazi umri wa mama yake..
Watoto wa mjini tumenusurika vifo katika utafutaji huko ughaibuni
Tumeshalelewa na mashangazi.
Tumeshakuwa machawa.
Tumekuwa punda.
Wengine wamekua mashoga
Wengine wamekua mabasha
Tumenusurika vifungo
Tumeshakua mamluki nchi zenye mizozo...
Tumeshadhalilika sana sababu ya utafutaji
Yote hayo sababu tunatafuta hela tutunze watoto wetu,ndugu zetu na familia zetu.
Story ni nyingi ila mda mchache...
Niffah kaleta uzi wa kutukumbusha mbali watoto wa mjini.