Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

STORY NI NYINGI ILA MDA NI MCHACHE....
KATIKA WANANGU WATOTO WA MJINI NILIOKUA NAO.
TISA WAPO JELA UGHAIBUNI
WATATU JELA RSA
Maisha ni mapambano ila watoto wa mjini tunapambana vyovyote vile mradi tupate hela..
Wakitokea mashangazi tunaruka nao,,,zikitokea dili chafu tunaruka nazo,,,mradi mambo yaende na ndicho kilichowakuta wanangu...
Simshangai mganga mikufu kujiweka kwa shangazi umri wa mama yake..
Watoto wa mjini tumenusurika vifo katika utafutaji huko ughaibuni
Tumeshalelewa na mashangazi.
Tumeshakuwa machawa.
Tumekuwa punda.
Wengine wamekua mashoga
Wengine wamekua mabasha
Tumenusurika vifungo
Tumeshakua mamluki nchi zenye mizozo...
Tumeshadhalilika sana sababu ya utafutaji
Yote hayo sababu tunatafuta hela tutunze watoto wetu,ndugu zetu na familia zetu.
Story ni nyingi ila mda mchache...
Niffah kaleta uzi wa kutukumbusha mbali watoto wa mjini.
 
Watoto wa mjini tmenusurika vifo katika utafutaji huko ughaibuni
Tumeshalelewa na mashangazi.
Tumeshakuwa machawa.
Tumekuwa punda.
Wengine wamekua mashoga
Wengine wamekua mabasha
Tumenusurika vifungo
Tumeshakua mamluki nchi zenye mizozo...
Tumeshadhalilika sana sababu ya utafutaji
Yote hayo sababu tunatafuta hela tutunze watoto wetu,ndugu zetu na familia zetu.
Story ni nyingi ila mda mchache...
Niffah kaleta uzi wa kutukumbusha mbali watoto wa mjini.
Kwahiyo Mkuu umeruka sana na mishangazi? Nimecheka sana.

Hivi, wale watoto wa kariakoo waliokuletea ujuaji kwenye lile dili ugenini mpaka wakakulilia nauli mmoja wapo ni yule msanii wangu pendwa? Au yule bishoo mwenye wazee wafadhili wa Uhuru?
 
😂🤣🤣🤣🤣 niffah mpana sana..
Eti washua wake walifadhili uhuru.
Kariakoo enzi zile kila nyumba kuna msanii.
Hapana msanii wako pendwa ni mtoto wa mama hawezi kwenda front ila mshirikina sana.
Wale madogo nitaharibu code nikiwaweka wazi,,ila jua tu ni wale madogo wanaokaa kule nyuma ya club ya Yanga...
Na mmojawao bro wake alikua na recording studio migomigo
 
Kwa hiyo kutengeneza passport nyumbani kwako sio utapeli?

Kama ni biashara au huduma halali kwanini hamna agency zilizopewa licence kutoa hizo huduma?
Nani kakwambia passport alikuwa anatengenezea nyumbani? Kuwarahisishia watu foleni ya usumbufu wa kupata Passport uhamiaji ni utapeli? Leo hii nikitaka kupata Leseni ya Biashara kwa haraka bila kucheleweshwa na nikamtumia mtu mwenye connection pale Halmashauri huyo mtu ni tapeli au ni mjanja tu wa mjini anaetumia urasimu wa maofisini kama fursa? Kuna watu wengi mission town wanaitwa matapeli wakati kiuhalisia siyo matapeli.
Mfano hata mimi nina jamaa zangu wapo idara mbalimbali za serikalini ambazo kwa baadhi ya huduma kwa utaratibu wa kawaida zinachelewa ila mimi nina uwezo wa kuwatumia wanirahisishie kazi, sasa nikifanya hivyo kwa kuwasaidia wengine na hao ninaowasaidia wakawa wananilipa kidogo huo ni utapeli?? Unajua saivi **** watu wanalipwa kwa ajili ya kukaa tu kwenye foleni kwa niaba ya wengine??
 
STORY NI NYINGI ILA MDA NI MCHACHE....
KATIKA WANANGU WATOTO WA MJINI NILIOKUA NAO.
TISA WAPO JELA UGHAIBUNI
WATATU JELA RSA
Maisha ni mapambano ila watoto wa mjini tunapambana vyovyote vile mradi tupate hela..
Wakitokea mashangazi tunaruka nao,,,zikitokea dili chafu tunaruka nazo,,,mradi mambo yaende na ndicho kilichowakuta wanangu...
Simshangai mganga mikufu kujiweka kwa shangazi umri wa mama yake..
Watoto wa mjini tumenusurika vifo katika utafutaji huko ughaibuni
Tumeshalelewa na mashangazi.
Tumeshakuwa machawa.
Tumekuwa punda.
Wengine wamekua mashoga
Wengine wamekua mabasha
Tumenusurika vifungo
Tumeshakua mamluki nchi zenye mizozo...
Tumeshadhalilika sana sababu ya utafutaji
Yote hayo sababu tunatafuta hela tutunze watoto wetu,ndugu zetu na familia zetu.
Story ni nyingi ila mda mchache...
Niffah kaleta uzi wa kutukumbusha mbali watoto wa mjini.
Hivi mkuu ila simulizi ya Congo saizi ndiyo nashtuka kuwa ni wewe mwandishi
 
Kwahiyo Mkuu umeruka sana na mishangazi? Nimecheka sana.

Hivi, wale watoto wa kariakoo waliokuletea ujuaji kwenye lile dili ugenini mpaka wakakulilia nauli mmoja wapo ni yule msanii wangu pendwa? Au yule bishoo mwenye wazee wafadhili wa Uhuru?
TUMERUKA SANA NA MISHANGAZI....
Na wengine wamekua wanatoa service kwa michicha mwiba.
MWANANGU MMOJA HV ANAIMBA BONGO FLAVA ALISEMA LIVE REDIONI ANAMZIMIA MAMA ZUCHU 🤣🤣😂😂😂 KIPINDI CHA UMBEA WA KINA SUDDY BROWN.🤣🤣😂😂
 
Huyu mtu namheshim sana hasa kile kipindi chake cha asubuhi jumapili pale clouds Cha jicho la tofauti!!

Kuna wengine Wana tatizo la hormones Sasa sijui na huyu nae!!

Mi kina chonishangaza mtu mwenye akili timamu anawezaje ku disa mbele ya mwanamme mwenzake!!hapo tu!!
Ni kama kuua. Ukishaua mtu wa kwanza na WA pili, unazoea na unaendelea kuua mpaka unasahau idadi ya uliowaua.
 
😂🤣🤣🤣🤣 niffah mpana sana..
Eti washua wake walifadhili uhuru.
Kariakoo enzi zile kila nyumba kuna msanii.
Hapana msanii wako pendwa ni mtoto wa mama hawezi kwenda front ila mshirikina sana.
Wale madogo nitaharibu code nikiwaweka wazi,,ila jua tu ni wale madogo wanaokaa kule nyuma ya club ya Yanga...
Na mmojawao bro wake alikua na recording studio migomigo
Sasa nifanyeje jamani? Si unataka twende kwa codes? 😆

Hiyo studio nimeshaijua, ilikuwa barabarani kabisa pale, mi nimeishi sana pale.
 
Back
Top Bottom