Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

Ni ubakaji tu hata kama kivulana kilikuwa kikisimamisha! Hata umri wa miaka 12 unatosha kuelewa ulikuwa ubakaji. Umezungumzia tendo la makubaliano. Ni Makubaliano yepi yatakuwa halali kati ya kivulana cha miaka 12 na mtu mzima!
 
Sheria zako ni za kichakani. Wewe unadhani kubaka ni mpaka kutumia nguvu au kutokuidhinisha! Kwa taarifa yako mtoto mdogo, chini ya miaka 18 hata akukubalie, hilo la kosa la kubaka.
 
Kila mtu Ana mtu wake anayempenda...me mdogo kwangu au aliyenipita kiduchu au tunayelingana big no.
Nataka watatua matatizo na sio waongeza matatizo
Kama ni mdogo kwako na ana noti inakuwaje?
 
Huyo mpuuzi afungwe maisha na kufanyishwa kazi ngumu. Kwanini ambake mtoto wakati wakubwa tupo asitubake? Pungwani wa head (FaizaFoxy, 2002).
 
Kwa sheria za nchi yetu hatuna nguvu ya kusema amebaka Bali kafanya shambulio la aibu, kosa la kubaka limeelezwa vizuri zaidi chini ya kifungu namba 130 Cha Kanuni ya adhabu sura ya 16.

Ingekuwa maeneo Kama Kenya sheria zao humkuta hatiani mwanamke kwa kosa hilo
 
KUNA VIJANA WANATAMANI WANGEKUWA MAJIRANI WA MAMA SHANI
 
Shani unakwama wapi ? njoo unibake mimi nna minyege kibao
Dogo alikuwa anapelekwa hadi chembaa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ itafika wakati sasa atataka hayo mambo itabidi apasuke mfukoni.. Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi, haiwezekani nikata rufaa? Au nione picha kwanza ya shani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…