Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

Kivuta samaki ni chochote
Babu weee me najua ww ni mzoefu unaelewa haraka kumbe bado tu kuelewa mzabzab naomba umueleweshe babu. Ada ya mja kulia muungwana ni vitendo....hapo napo bado?
Ama kweli uzee mbaya sana. Ninenyimwa utelezi hadharani mchana kweupe....
 
Sijajua kama hii sheria ya mwaka 2009 ilishabadilishwa lini maana kabla ilikuwa inasema kwenye tafsiri kuwa " kubaka ni kitendo cha MWANAUME kumuingilia mwanamke bila ridhaa yake au mtoto aliye chini ya umri wa miaka 18!

Kama ilishafanyiwa marekebisho watakuwa walifanya vizuri kwa sababu mwanzo ilikuwa inakiuka matakwa ya sheria kwamba (it should be uniform in application)
 
Nakumbuka ninaye muita antie alikuwa ananipenda ,kipind yy yupo la Saba uko m nipo chekechea aisee alifaidi sana kunichukua niende kwao kulala uko Hata celewi [emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Kila mtu Ana mtu wake anayempenda...me mdogo kwangu au aliyenipita kiduchu au tunayelingana big no.
Nataka watatua matatizo na sio waongeza matatizo
Tabu ni kuwa ukifuatwa inbox utakana hii statement yako, maana siku hizi vijana mnatupiga vita sana wazee na kutuita majina ya ajabuajabu wakati wazee tunajua kupenda kweli!

Lakini mabinti hamriziki unagharamia lakini unakuta unalisha kijana wa kiume ambaye ndio mnamuita future husband japo hana hata akili ya kujishughulisha na chochote kujiingizia kipato chake binafsi achilia mbali kutunza familia!
 
Tabu ni kuwa ukifuatwa inbox utakana hii statement yako, maana siku hizi vijana mnatupiga vita sana wazee na kutuita majina ya ajabuajabu wakati wazee tunajua kupenda kweli! Lakini mabinti hamriziki unagharamia lakini unakuta unalisha kijana wa kiume ambaye ndio mnamuita future husband japo hana hata akili ya kujishughulisha na chochote kujiingizia kipato chake binafsi achilia mbali kutunza familia!
We kama ni Mzee kweli , mwenye shughuli ya kufanya inayoweza kukupa cha ziada na unajitambua na huna tatizo kubwa la afya njoo inbox.
 
Sijajua kama hii sheria ya mwaka 2009 ilishabadilishwa lini maana kabla ilikuwa inasema kwenye tafsiri kuwa " kubaka ni kitendo cha MWANAUME kumuingilia mwanamke bila ridhaa yake au mtoto aliye chini ya umri wa miaka 18!
Kama ilishafanyiwa marekebisho watakuwa walifanya vizuri kwa sababu mwanzo ilikuwa inakiuka matakwa ya sheria kwamba (it should be uniform in application)

The appellant, a lady, was charged before the Resident Magistrates Court of Morogoro at Morogoro (the trial court) with two counts; to wit, indecent assault of a boy under fourteen years and unnatural offence contrary to sections 156 (1), (2) and 154(1) (c) of the Penal Code, [Cap
16 R. E. 2002, (Now R. E. 2022) respectively. She was convicted in both counts and sentenced to life imprisonment in respect of the first count and thirty (30) years imprisonment in respect of the second count. She was aggrieved by the decision of the trial court and thus unsuccessfully appealed to the High Court, hence the present appeal

Ukisoma vizuri hapo juu alikuwa charged na count mbili tu indecent assault pamoja na unnatural offence,kwa hiyo sio kesi ya ubakaji nadhani heading wameshindwa kuieweka vizuri.
 
Huyu mtoto naye anazingua miaka mitatu yote alikaa kimya alikua ana enjoy au
 
Nashukuru sana kwa kusahihisha upotoshaji wa waandishi wa habari!
 
Hiyo michezo nimefanyishwa Sana na mtoto wa bamdogo kuanzia Niko Darasa la 7 Hadi form2 huyo ndo alinifundisha tabia mbaya alinizidi kama miaka7 sikuwahi kusema maana alikua mtamu balaa now ni mmama huwa tukikutana anajichekesha chekesha tu
 
Siungi mkono ila naona kuna ukakasi.
Kubaka maana yake ni kumwingilia mtu kimwili bila ridhaa yake, siyo?
Kwa mwanaume Ili umwingilie mwanamke kimwili ni uwezo wako tu kusimamisha, hapo asili itaruhusu mwingiliano hata kama mwanamke hakuridhia.

Tuendelee taratibu
° Mwanamume akiamua anaweza kufanya mapenzi na mwanamke hata kama mwanamke huyo hakuridhia (ubakaji)
° Mwanamke yeyote kwa maamuzi yake hawezi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote kwa namna yoyote kama mwanaume husika hakuridhia.

Maumbile ya asili hayamruhusu mwanaume kufanya mapenzi kwa kulazimishwa bila yeye kuridhia kwanza. It means dogo aliridhia kwanza ndio akafanya. Naona kama tafsiri ya ubakaji inakosa mashiko.

Vipi hii hatuwezi kuiita kwa jina lingie lakini sio mwanamke kabaka?
Dada mwenye umri wa miaka 35 atembea/kutoka/mahusiano na mtoto mwenye umri chini ya 18.
 
Matokeo yake vijana wakifika kuanzia miaka 24-35 wanakua vijana wa hovyo kweli kweli kama taifa tunapata hasara sana.

Mtoto wa kiume yuko kwenye risk kweli kweli tena risk zote mbili, SMH!
 
Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12.

Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake, kuandaa mtego katika nyumba ya mwanamke huyo ambapo walirekodi tukio hilo kwa kutumia simu janja.

Hii ni baada ya mtoto kumweleza mama yake kuwa mama Shani, maarudu kama Mama Shafii amekuwa akimwambia amwingilie mara kwa mara na wakati mwingine kinyume cha maumbile na mchezo huo aliufanya kwa miaka mitatu hadi mwaka 2019.

Chanzo: Mwananchi
Duuuh aiseee
 
Back
Top Bottom