Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

Alikuwa anavuta mkwanja kila wikeend na alikuwa handsome haswa.

Mi alinambia kwakuwa nikuwa karibu naye nikimshauri mambo ya shule na maisha hadi ndio akanifungukia hivyo

Ilikuwa ni siri yake tu na mwenzi wake.
Lakini kikubwa alikuwa anapata pesa za kutumia.
Aiseee apo dogo hongera yake aya mambo yapo aisee anamtumia dogo aezavyo ivi ajampa ndogo kweli
 
Siungi mkono ila naona kuna ukakasi.
Kubaka maana yake ni kumwingilia mtu kimwili bila ridhaa yake, siyo?
Kwa mwanaume Ili umwingilie mwanamke kimwili ni uwezo wako tu kusimamisha, hapo asili itaruhusu mwingiliano hata kama mwanamke hakuridhia.

Tuendelee taratibu
° Mwanamume akiamua anaweza kufanya mapenzi na mwanamke hata kama mwanamke huyo hakuridhia (ubakaji)
° Mwanamke yeyote kwa maamuzi yake hawezi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote kwa namna yoyote kama mwanaume husika hakuridhia.

Maumbile ya asili hayamruhusu mwanaume kufanya mapenzi kwa kulazimishwa bila yeye kuridhia kwanza. It means dogo aliridhia kwanza ndio akafanya. Naona kama tafsiri ya ubakaji inakosa mashiko.

Vipi hii hatuwezi kuiita kwa jina lingie lakini sio mwanamke kabaka?
12 yrs ni mtoto. Anahesabika kama Hana akili ya kufanya maamuzi sahihi. Hivyo huyo mdada alitumia huo mwanya kumlaghai au kumrubuni. Jambo hili ni ubakaji !
 
Me napenda libolo kubwa kubwa sio kama ka huyo dogoo
Kwanza vhavijajua kutumia tuvitu tuvitu Mungu alivyowapati
Me wanaume naopendaga wawe kuanzia 35 ndo najiskia niko na ME
Sio unakaa na ka mtu unaanza kupigwa vizinga vya kijinga
Samahani dada nina swali, nyie wanawake mnachukuliaje wanaume ambao wamewazidi sana umri ila sio wababu, kuna binti nimevutiwa nae, ila nimemzidi Huyo binti miaka 15, binti ana miaka 20, mm nina miaka 35, nikimtongoza huyo binti, huyo binti hatoniona mm wa ajabu?

Maana tukikutana Huyo binti ananipa Shikamoo, je huyo binti hata akinikubalia hatakuwa amenipendea pesa kweli, maana nahisi ataniona mm mkubwa sana kwake Nakadori
 
Nimemshangaa kwa kweli wao wanabaka mpaka kuku lakini wanajiona wasafi inasikitisha.
Nyie mnabaka hadi chupa za soda, au matango tena haitoshi mnayafanyia ukatili wa kuyapasha moto kidogo. (kidding)
 
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12.
Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake, kuandaa mtego katika nyumba ya mwanamke huyo ambapo walirekodi tukio hilo kwa kutumia simu janja.

Hii ni baada ya mtoto kumweleza mama yake kuwa mama Shani, maarudu kama Mama Shafii amekuwa akimwambia amwingilie mara kwa mara na wakati mwingine kinyume cha maumbile na mchezo huo aliufanya kwa miaka mitatu hadi mwaka 2019.
 
Samahani dada nina swali, nyie wanawake mnachukuliaje wanaume ambao wamewazidi sana umri ila sio wababu, kuna binti nimevutiwa nae, ila nimemzidi Huyo binti miaka 15, binti ana miaka 20, mm nina miaka 35, nikimtongoza huyo binti, huyo binti hatoniona mm wa ajabu? maana tukikutana Huyo binti ananipa Shikamoo, je huyo binti hata akinikubalia hatakuwa amenipendea pesa kweli, maana nahisi ataniona mm mkubwa sana kwake Nakadori
Kila mtu Ana mtu wake anayempenda...me mdogo kwangu au aliyenipita kiduchu au tunayelingana big no.
Nataka watatua matatizo na sio waongeza matatizo
 
Angekuwa hasikii kusingekuwa na muendelezo kwa miaka mitatu. Tena inawezekana alikuwa anaenjoy chururu ya dogo kuliko chururu za wakubwa wenzie. Pambaf zake
Labda ni mashart ya mganga.
Mama mtu nzima kuridhishwa na kadudu ka miaka 11 asee hapana nakataa
 
Huyo mtoto alikuwa ameshabalehe? Alikuwa anasikia utamu? Alikuwa anapewa vijizawadi na huyo mama? Miaka 3 yote kwanini alikuwa hasemi? Alilazimishwa na kutishiwa asiseme?

Maswali ni mengi kuliko majibu! Lakini yeye ni mtoto tu hivyo mama huyo hukumu imempata.
 
Back
Top Bottom