Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Naenda jamani. Ila anataka nikienda nimwambie [emoji23][emoji23][emoji23]. Nilikua naenda kwa kubip tho
 
ushauri huu unapaswa kuangaliwa kwa jicho la pekee. Kwa mtazamo wangu naona haya ni muhimu;
1. Unadhifu ni zaidi ya kujipodoa na kujichubua
2. Urembo ni tabia ya mtu. Hawezi kujiremba kama sio mtu aliyezoea kujiremba na kupangilia vipodozi
3. Urembo na unadhifu sio suala la kipato, hata kwa kipato kidogo tu mtu unajiweka sawa.
4. Mwanaume ni mdau namba moja kwa urembo na unadhifu wa mke wake.
5. N.k
 
Baby wivu unamsumbua...

Yeye awe mpole utabadilika tu. Ila hata mimi nadhani pasingetosha, au kama vipi niwajue marafiki unaotoka nao angalau.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naenda jamani. Ila anataka nikienda nimwambie [emoji23][emoji23][emoji23]. Nilikua naenda kwa kubip tho
Sasa usi-beep, nenda tena mwambie "bae ndio najiandaa misa ya pili leo". In love you've got to compromise my dear, utaona mafanikio yake.
 
nguo fupi sio uhuni, cha msingi ni Dress Code, yaani nguo gani inavaliwa sehemu gani na wakati gani!
 
Nakazia shemeji
 
Hapana kwakweli me mwanamke
Cha Kwanza n nywele ndo naanzaga
nacho

Sasa mm n nyoe na wife anyoe huko
Ndan Sasa kuna mvuto gan
Naona Kama tunakaa tu madume
wote
Wenzio wanasema sasa mtu akate nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…