Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Uende kanisani wewe, mwanaume ana akili sana huyo. Mwanamke asiyependa kusali hawezi kuisimamia nyumba na ndoa yake(more often).

Unaona jamaa anakufosi lakini kumbe anafosi vitu vya msingi, badae usije kulaumu kuwa umekuwa fungu la kukosa while wewe ni mrembo/mzuri wa sura etc.
Naenda jamani. Ila anataka nikienda nimwambie [emoji23][emoji23][emoji23]. Nilikua naenda kwa kubip tho
 
ushauri huu unapaswa kuangaliwa kwa jicho la pekee. Kwa mtazamo wangu naona haya ni muhimu;
1. Unadhifu ni zaidi ya kujipodoa na kujichubua
2. Urembo ni tabia ya mtu. Hawezi kujiremba kama sio mtu aliyezoea kujiremba na kupangilia vipodozi
3. Urembo na unadhifu sio suala la kipato, hata kwa kipato kidogo tu mtu unajiweka sawa.
4. Mwanaume ni mdau namba moja kwa urembo na unadhifu wa mke wake.
5. N.k
 
Baby wivu unamsumbua...

Yeye awe mpole utabadilika tu. Ila hata mimi nadhani pasingetosha, au kama vipi niwajue marafiki unaotoka nao angalau.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naenda jamani. Ila anataka nikienda nimwambie [emoji23][emoji23][emoji23]. Nilikua naenda kwa kubip tho
Sasa usi-beep, nenda tena mwambie "bae ndio najiandaa misa ya pili leo". In love you've got to compromise my dear, utaona mafanikio yake.
 
Najiona mm hapo nilikutwa mtu wa kuvaa nguo fupi na nimependwa hivyo hivyo na nguo zangu fupi na nipo zangu tu na vimini vyangu nawaza tu ndio ningekatazwa nipo zangu na madera na 3 kichwa zangu ila pia sio mbaya yote maisha tu mablazillian ningekuwa nayaona kwenye picha tu

Acha nirudi kulala
nguo fupi sio uhuni, cha msingi ni Dress Code, yaani nguo gani inavaliwa sehemu gani na wakati gani!
 
Uende kanisani wewe, mwanaume ana akili sana huyo. Mwanamke asiyependa kusali hawezi kuisimamia nyumba na ndoa yake(more often).

Unaona jamaa anakufosi lakini kumbe anafosi vitu vya msingi, badae usije kulaumu kuwa umekuwa fungu la kukosa while wewe ni mrembo/mzuri wa sura etc.
Nakazia shemeji
 
Back
Top Bottom