Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaEti akinywa Heineken anakua mzungu balaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahhaaa. Kama wewe hapa ulivyomwambia Shunie
Ila ngekua mm ndoNa kapendeza na kunyoa kwake
Naenda jamani. Ila anataka nikienda nimwambie [emoji23][emoji23][emoji23]. Nilikua naenda kwa kubip thoUende kanisani wewe, mwanaume ana akili sana huyo. Mwanamke asiyependa kusali hawezi kuisimamia nyumba na ndoa yake(more often).
Unaona jamaa anakufosi lakini kumbe anafosi vitu vya msingi, badae usije kulaumu kuwa umekuwa fungu la kukosa while wewe ni mrembo/mzuri wa sura etc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa yeye yupo mzimaHahahahhaaa. Kama wewe hapa ulivyomwambia Shunie
Hahhahah nawaza tu hiyo siku ulivyokuwa unaongea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baby wivu unamsumbua...
Yeye awe mpole utabadilika tu. Ila hata mimi nadhani pasingetosha, au kama vipi niwajue marafiki unaotoka nao angalau.
Sasa usi-beep, nenda tena mwambie "bae ndio najiandaa misa ya pili leo". In love you've got to compromise my dear, utaona mafanikio yake.Naenda jamani. Ila anataka nikienda nimwambie [emoji23][emoji23][emoji23]. Nilikua naenda kwa kubip tho
nguo fupi sio uhuni, cha msingi ni Dress Code, yaani nguo gani inavaliwa sehemu gani na wakati gani!Najiona mm hapo nilikutwa mtu wa kuvaa nguo fupi na nimependwa hivyo hivyo na nguo zangu fupi na nipo zangu tu na vimini vyangu nawaza tu ndio ningekatazwa nipo zangu na madera na 3 kichwa zangu ila pia sio mbaya yote maisha tu mablazillian ningekuwa nayaona kwenye picha tu
Acha nirudi kulala
Nakazia shemejiUende kanisani wewe, mwanaume ana akili sana huyo. Mwanamke asiyependa kusali hawezi kuisimamia nyumba na ndoa yake(more often).
Unaona jamaa anakufosi lakini kumbe anafosi vitu vya msingi, badae usije kulaumu kuwa umekuwa fungu la kukosa while wewe ni mrembo/mzuri wa sura etc.
Hahhahahha kama mm asubuhi sasa naanza kujiuliza hivi nilikuwa mm kweli acha pombe iitwe pombeMi nikilewa ndo zangu natemaga sumu zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy zake ananijaza huko basi unatamani kumwona huyo shunieAnakusifugi sana mpaka nakuonea wivu yaani.
Maana kila kitu ni Wewe.
Shemeji acha dada wangu akupende tu jamaniSasa usi-beep, nenda tena mwambie "bae ndio najiandaa misa ya pili leo". In love you've got to compromise my dear, utaona mafanikio yake.
Ewaaaaaaanguo fupi sio uhuni, cha msingi ni Dress Code, yaani nguo gani inavaliwa sehemu gani na wakati gani!
Hahaha, we acha tu shem. Dada yako yupo kwenye[emoji177] kabisa.Shemeji acha dada wangu akupende tu jamani
Mpende tu dada yangu shemejiHahaha, we acha tu shem. Dada yako yupo kwenye[emoji177] kabisa.