Mwanamke Jipende Natural Achia Misitu

Bila shaka mama T atapita ajue namna ya kupambana na wewe adui/mwizi wake..! [emoji135][emoji135]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo hadi wifi unamkazia mkuu?

hahaaah hapana, pale huwa msikivu na akili nyingi inatumika ili mambo yoote yawe sawa ki mwili na ki akili, ni vile tu kutokana na kazi zetu wengine muda mwingi hatuhitajiki kuongea sana, maana huo muda haupo, muda mwingi tunajifunza hivyo tunahitaji utulivu wa kutosha na hatuna mapumziko labda uumwe au uamue tu kutulia na familia...nyumbani ndio sehemu pekee ya kutupa faraja...we wa nyumbani unaelewa
 
Naelewa
 
Mi nina kipilipili matata. Hakishiki dawa chekundu si chekundu brown si brown. Na nshajijua mwenyewe ndo maana siigi style za watu za kunyoa sijui kuachia nywele fupi najua ntakua kituko na kakichwa kangu kama pera
Jaribu kukata afro
 
Akipendeza we unakereka nini? Kwa mfano umemkuta anasuka rasta zake safi unaanza kumwambia unataka anyoe kipara. Kwani kuwa smart ni tabia ambayo inaweza ikakukera kaka?
Itakuwa ulinielewa tofauti mpendwa, sijasema asipendeze, pendezeni tu na mwanamke anatakiwa apendeze.

Niliongelea mf. mlikutana bar na ni mlevi, so haikuzuii wewe kumzuia ulevi eti kwa kuwa ulimkuta hivyo, sijui umenielewa?
 
Sawa
 
Mi nina kipilipili matata. Hakishiki dawa chekundu si chekundu brown si brown. Na nshajijua mwenyewe ndo maana siigi style za watu za kunyoa sijui kuachia nywele fupi najua ntakua kituko na kakichwa kangu kama pera

Lini utanionyesha hicho kipilipili?

Halafu hujawahi kuchoropokwa na wigi?

Yakichoropokaga huwa yanachekesha sana.

Unakuta limedondoka chini kama kichwa cha mbuzi...
 
Hakuna kitu nalinda kama kudondokewa na wig. Maana itakua aibu. Juzi arusha kuna mkaka alikuja room kwetu akanikuta sijavaa wig akauliza eti huyu nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sheeeenzi umenchekesha haha unakuta mtu anakuuliza samahani dada namuulizia Jolie haha ukimwambia ndo mimi anajibu hapana ye hayuko ivo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Aliona nywele zangu akasema vaeni mawig tuu. Tunaweza tukawasahau njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…