Mwanamke, kama hakugharamii achana naye, lazima ugharamiwe!

Mwanamke, kama hakugharamii achana naye, lazima ugharamiwe!

Umeandika ya kweli kabisa lakini hiyo ni agano la kale, Agano jipya ni 50 50 unaposema wanawake hawajaumbwa kupambana wakati now wanashika uongozi unawakosea, misingi hiyo imeshapita mda wake ndo mana sasa wote tunasoma wote tunafanya kazi wote tuna equal opportunity.

Ukisema hivyo basi wakae nyumbani walee familia sababu hiyo ndio misingi ya wao kuumbwa haswaa kulea,sijui kwanini Kuna double standard katika hili kuona wanaume wanapenda mtelezo wakati wanawake wameacha kufuata nature yao so na sisi tumeacha simple hesabu rahisi tu.
 
 
Hamuoni mitetea inavyowasumbua majogoo, mnashindwa hata kuangalia viumbe wengine wanaishije. Jamani, nature inamtaka mwanaume asulubike, ahenyeke, avuje jasho ndio apata.

Tusulibisheni!
Tuhenyesheni!
Tutaabisheni!
Tukaangeni!
Jasho litutoke!
Wakirudi wamechoka wanalala hoi mnasema hawana nguvu za ubaba mnaanza kuwasumbua wageuke hawawezi
 
Back
Top Bottom