Mwanamke, kama hakugharamii achana naye, lazima ugharamiwe!

Mwanamke, kama hakugharamii achana naye, lazima ugharamiwe!

Anaandika, Robert Heriel

Mambo ya kubembelezana hakuna hapa. Kwanza muda mchache na maisha mafupi huo muda wa kubembelezana tutautoa wapi. Kama hawezi kukugharamia piga chini. Usiwe na jicho la huruma hata siku moja. Mimi kaka yenu, naam ndiye baba yenu ninaelewa ninachokisema. Hutaki acha wala sikubembelezi. Najua wakaidi wapo, na siku zote mkaidi hufaidi ukaidi
Dj lete wimbo wa aint ya father
 
Hahahah watu wana waste resources kugharamia malaya ambao hawana mikataba nao.
Nikikumbuka navoishiwa pozi tarehe mbaya mshahara kutoka week mbili mbele..halafu eti nichezee pesa kumpa binti mwingine sijamuoa nimpe percentage fulani HAPANA aiseee ni heri niende bar nikaokote mzoga ukilipa 10000 fresh ila condom muhimu..au heri hata ndugu zangu wa chaputa..mwanamke hapewi hela za kumnunulia nguo hio NI kazi ya wazazi wake..akija kunitembelea kwangu chakula tanunua na posho kidogo hata kama Nina laki Saba anakula ten...Kama NI mke wa ndoa sawa ila sio wapenzi wasindikizaji Hawa acha TU akagongwe kwa sponsor apewe laki
 
Naskia uchungu sana 😂😂😂

Wanawake wameumbwa hivyo Mkuu😀😀

Sasa uchungu unausikiaje 😊

Hata umfundishe kujitemea atapanua, tena atahonga kabisa hizohizo pesa za dukani😂😂

Watu wengi wasichojua ni kuwa Wanawake na wanaume tunafanana kwa 90%.😀😀

Ukishalijua hilo basi utaelewa nini nasema
 
Mungu hakuwaambia wao wafanyekazi sasa atawabariki vipi Kwa kitu ambacho hajawaambia?

Au unasema Mungu yupi?
Mwanamke hajaumbwa kufanya kazi😀

Ni vile Sisi wanaume tumeshindwa majukumu yetu

Pitia soma tena upya na polepole kwa sauti ya ndani ulichoandika. Yawezekana umewapa mbwa chakula wasichostahili !
 
Ebu subiri kidogo, mimi nikigharamia napata nini?
 
Taikon tangu nikufatilie sjawahi onaga mada mbovu kutka kwako kila nondo unayoshusha inakua ya moto ,,kuna mada inasema miliki watu upate utajiri ile ni ya kipekee jamiiforum nzima yani ww ni genius
Wakirudi wamechoka wanalala hoi mnasema hawana nguvu za ubaba mnaanza kuwasumbua wageuke hawawezi
 
[emoji1316] big up!! ulichokisema ni wachache watakaokuelewa kwa asilimia 100..
 
Ukitafuta kwa jasho, anachukua kile kilichotafutwa kwa jasho na kukipeleka kwa asiyetafuta kwa jasho.

Jasho linawaletea karaha.

Hayo mambo hayana kanuni.

If you work harder, stop. Work smarter.
 
Mabinti wa kisasa mna mambo ya hovyo kweli gazeti Zima ulilo andika hapo ni uharo na ushuzi mtupu, fanyeni kazi mapenzi sio ajira ni starehe
 
I'm pretty sure that Robert will get 💯 support from all the Jf ladies 😂
 
Back
Top Bottom