Mwanamke, kama hakugharamii achana naye, lazima ugharamiwe!

Dj lete wimbo wa aint ya father
 
Hahahah watu wana waste resources kugharamia malaya ambao hawana mikataba nao.
 
Naskia uchungu sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanawake wameumbwa hivyo MkuuπŸ˜€πŸ˜€

Sasa uchungu unausikiaje 😊

Hata umfundishe kujitemea atapanua, tena atahonga kabisa hizohizo pesa za dukaniπŸ˜‚πŸ˜‚

Watu wengi wasichojua ni kuwa Wanawake na wanaume tunafanana kwa 90%.πŸ˜€πŸ˜€

Ukishalijua hilo basi utaelewa nini nasema
 
Mungu hakuwaambia wao wafanyekazi sasa atawabariki vipi Kwa kitu ambacho hajawaambia?

Au unasema Mungu yupi?
Mwanamke hajaumbwa kufanya kaziπŸ˜€

Ni vile Sisi wanaume tumeshindwa majukumu yetu

Pitia soma tena upya na polepole kwa sauti ya ndani ulichoandika. Yawezekana umewapa mbwa chakula wasichostahili !
 
Ebu subiri kidogo, mimi nikigharamia napata nini?
 
Taikon tangu nikufatilie sjawahi onaga mada mbovu kutka kwako kila nondo unayoshusha inakua ya moto ,,kuna mada inasema miliki watu upate utajiri ile ni ya kipekee jamiiforum nzima yani ww ni genius
Wakirudi wamechoka wanalala hoi mnasema hawana nguvu za ubaba mnaanza kuwasumbua wageuke hawawezi
 
[emoji1316] big up!! ulichokisema ni wachache watakaokuelewa kwa asilimia 100..
 
Ukitafuta kwa jasho, anachukua kile kilichotafutwa kwa jasho na kukipeleka kwa asiyetafuta kwa jasho.

Jasho linawaletea karaha.

Hayo mambo hayana kanuni.

If you work harder, stop. Work smarter.
 
Mabinti wa kisasa mna mambo ya hovyo kweli gazeti Zima ulilo andika hapo ni uharo na ushuzi mtupu, fanyeni kazi mapenzi sio ajira ni starehe
 
I'm pretty sure that Robert will get πŸ’― support from all the Jf ladies πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…