Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

Huyo mama huwa ni kipensi suruali, sijui hata kama ana mume maana ni katili kwa maandiko yake na she does not sound as a woman, she is not humble halafu hana respect kwa wanume, yeye anawaza pesa tu na thamani ya mume kwake sio utu wala upendo bali ni pesa hata kama ni ya ushirikina au ya wizi

I am not trying to judge he in any ways ila najaribu kusema ambacho nakisoma toka kwake
Eti mchaga na pesa..hakuna penzi kwa mchaga kama huna pesa (sio wote)
Nina maCousin wachaga yaani stori zao ni hizi hizi. Pesa pesa..pesa.
Pesa itakufaa nini bila qmani ya nafsi.?
 
Eti mchaga na pesa..hakuna penzi kwa mchaga kama huna pesa (sio wote)
Nina maCousin wachaga yaani stori zao ni hizi hizi. Pesa pesa..pesa.
Pesa itakufaa nini bila qmani ya nafsi.?
Kwa kweli sio wachaga wote, ila hawa wachache kama akina bushmammy wanaharibu sana,

halafu hata lugha yake tu anavyoandika utadhani msela wa kijiweni, huwezi kujua kama ni mwanamke.

Nahisi kutakua na walakini kwenye makuzi ya huyu mama au pengine alishatendwa sana na wanaume ila sidhani kama yupo sawa kiakili
 
Wanaume WA Sahiv sio wale wa zamani jombaaa,
Wanaume hawataki kuvuja Jasho, mwanaume muda wote yupo laini laini kama maini.
Nendeni jando jombaaa, mwanaume wa ukweli unatakiwa utahiriwe bila ganzi upo?
Mbona hueleweki, umepewa mfano wa mwanamke mwenzio aliyevumilia shida unakuja na hoja nyingine. Yaani wemwenyewe hujui unataka nn
 
Dalili ya kwanza ya umalaya huwa ni hii. Kwaiyo mwenzio akiteleza kidogo kiuchumi uache kumuhudumia kisa maandiko yana sema mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu, kwan unazaa kila siku kusema kuwa kila unasikia uchungu?
 
Back
Top Bottom