Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

Waangalie Michelle na Barack Obama walipo leo hii. Walianza hawana kitu maskini wa kutupa lakini leo wanakula matunda ya penzi lao la ukweli matunda ya jasho ambalo wamechuma pamoja. Hizo tamaa zenu na mapenzi yenu FAKE zitawapeleka pabaya.
Hahahaa hawa watakuja kufa hawa ..ndio maana huwa wana dhalilishwa sana kwa kupigwa picha chafu na picha hizo kutumwa mitandaoni
 
[emoji1787][emoji1787]umetangaza VITA YA NNE YA DUNIA upande wa pili[emoji28][emoji28]
Nimeagiza popcorn zangu za 300k nafuatilia hili saga mwanzo mwisho
IMG_20200804_153559.jpg
 
Bushmamy kazana mwaya kutafuta pesa, lea kibenten chako....maisha yanasonga....ila kama hujaolewa ukiolewa salaleeeeee namuonea huruma huyo mume atakayekuoa ...una chuki na wanaume..sijui uliumizwa na mmoja wao ama na wewe umelelewa na single mother??? hii anger towards men imetokea wapi?? sema usaidiwe...
Mkuu zawadi zako hizo nimeshalipiwa enjoy your drink
images%20(66).jpg
images%20(64).jpg
 
Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe.

Piga mateke ngumi kwa fujo alete hela sio kukaa home amechomekea suruali kama mwanaume kumbe mdoli tu fukuza hapo hana maana
Wacha kuwasemea wanawake wenzio,kila mtu ameamua kuishi maisha anayotaka.Wacha wahudumie waume zao...mama dangote,restfish,openkitchen,past shilole,aunt ezekiel,nk
 
We mchane tu huyo Bushdaddy usije kutufokea sisi huku Jf hatuhusiki [emoji23]
Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe.

Piga mateke ngumi kwa fujo alete hela sio kukaa home amechomekea suruali kama mwanaume kumbe mdoli tu fukuza hapo hana maana
 
Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe.

Piga mateke ngumi kwa fujo alete hela sio kukaa home amechomekea suruali kama mwanaume kumbe mdoli tu fukuza hapo hana maana
Watoto wa kike miaka hii mnaishi kwa hisia sana..... Yaani mnaishi maisha ya kutumia hisia badala uhalisia.

Ndio maana leo unaweza kwenda kuazima gari ya mtu, ukatafuta hela kidogo na ukamuomba rafiki yako nyumba yake na ukatumia hivi vitu kumpata mwanamke unaemtaka sababu wanaishi kwa hisia na kutaka vitu vya kusadikika.

Sikatai kuna vijana wa kiume ni wavivu sana na si watu wa kuchakalika. Ila sasa msigeuze hii kitu kuwa ni kila mtu yupo hivyo. Mpambanaji ni Mpambanaji tu kukosa au kupata ni matokeo. Sasa kwann mnalazimisha wanaume wote wafanane matokeo yaani wapate as if walichagua kukosa.

Kitendo cha mwanaume kukuchagua tu tayari ni ishara ya kuwa na interest na wewe, na ulipomkubalia ni ishara ya kukubali proposal yake ya kuwa nae.

Watoto wa kike wa siku hizi you lack proper training ya maisha na kuelewa ni wapi msaada wako unahitajika kwa huyu mwanaume anapohitaji. Wengi maisha hamyajui.

Unahisi wewe unapopigia simu michepuko yako unayoigawia mgegedo ikutumie hela basi na mwanaume anafanya hivyo hivyo?!

Huu ugumu wa sasa ni man made na sio natural. Ingekuwa tunaishi nyumba za tembe na kulima mahindi ndio maisha yameisha am sure 80% ya population ya vijana wa kibongo wangekuwa wameshaanza maisha ya familia. Ila balaa ni kwamba anatakiwa atafute hela ya kodi, umeme, mavazi, bili ya maji, usafiri, mawasiliano, michango ya ulinzi, harusi, na mambo mengine. Hivi vyote anatakiwa atafute mwenyewe na bado wewe hajakulipia bili zako za kipuuzi kama vikoba ambavyo huwa havimsaidii lolote mwisho wa siku.

Kimsingi mnataka watu waigizie maisha na wasiwe natural ili kuwafurahisha ninyi.

Kama ukitafiti vijana wa kiume wanaoamua kukaa mbali maswala ya ninyi wadangaji huwa wanafika mbali kimaisha kabla ya kuanza familia sababu pesa nyingi huwa wanawekeza katika kuwafurahisha na isiwe na faida mwisho wa siku.

Hebu rejeeni misingi ya kuwa mwanamke na vigezo vyake vya ukweli na muache usanii.
 
Waangalie Michelle na Barack Obama walipo leo hii. Walianza hawana kitu maskini wa kutupa lakini leo wanakula matunda ya penzi lao la ukweli matunda ya jasho ambalo wamechuma pamoja. Hizo tamaa zenu na mapenzi yenu FAKE zitawapeleka pabaya.
True mademu wa bongo ni fake sana.... Halafu ni hiki kizazi kilichozaliwa mid 1990's.
 
Wanaume WA Sahiv sio wale wa zamani jombaaa,
Wanaume hawataki kuvuja Jasho, mwanaume muda wote yupo laini laini kama maini.
Nendeni jando jombaaa, mwanaume wa ukweli unatakiwa utahiriwe bila ganzi upo?
We unataka kututibua tu hapa....
 
Sawa tumepita kule, tukipata pesa mnaanza kulia lia kuwa hamtaki tu wa cheat ww unadhani wenzio hawapendi wenye pesa ni ww tuu ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hili nalo ni neno
 
Kama kuwa na hela ndio kipimo cha uanaume basi na Baba ako sio Mwanaume Kwa sababu kama.ni hela ilitakiwa uchukue Kwa Baba ako mzazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah bro, watu wanatupa madongo ila wewe umerusha jiwe aina ya fatuma kabisa....
 
Back
Top Bottom