Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Mkuu una akili Sana [emoji119]Inawagharimu wao lakini....
Maana kwa mfano mimi nikitazama age mate wangu au wale wanawake nimewazidi kuanzia miaka 1 hadi 5 wengi kwasasa wameshakanyaga au wanakaribia 30.
Wameshavurugwa na hawana ladha tena maana wameshaanza kukomaa.
Ila nikitazama ambao wapo available wengi ni watoto wa kuanzia 1997 kuendelea...... Wengi sana ni wa umri wa kuanzia 1999......
So kimsingi maisha ya wanawake yanatakiwa utulivu na hekima sana maana wao ndio huwa wanapoteza malengo na directions haraka.
Mimi nikizaa na wanawake 10 still nina nafasi ya kuanza maisha na mwanamke mpya tena mbichi kabisa..... Ila mwanamke akizaa na wanaume wawili tu wakamtenga tayari ameshachemsha gemu.
Zari yule pale anajifanyaga sijui boss lady ila tazama kila siku kulia lia hapewi matunzo na kutaka attention ya wanaume.
One love