Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

Umenena vyema mkuu
 
Waangalie Michelle na Barack Obama walipo leo hii. Walianza hawana kitu maskini wa kutupa lakini leo wanakula matunda ya penzi lao la ukweli matunda ya jasho ambalo wamechuma pamoja. Hizo tamaa zenu na mapenzi yenu FAKE zitawapeleka pabaya.
Umekosa kabisa mfano hai kwenye jamii za kitanzania?
Anyway ungeweza hata kumtumia Mwl Mstaafu John magufuli na Mwl Janeth, wametoka mbali sana hawa wawili hadi kufikia hatua ya kuongoza taifa kubwa duniani
 
Kweli kabisa[emoji848]
 
Kwanza walikutana wapi? Then unafikiri Barack angekuwa furushi Michelle angehangaika nae? Aliona yuko na mtu mwenye mwangaza mbele.

Narudia tena, fukuza hilo furushi hapo nyumbani likatafute sio limekaa tu kubadili vipindi kwa tv.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]
 
Wanaume WA Sahiv sio wale wa zamani jombaaa,
Wanaume hawataki kuvuja Jasho, mwanaume muda wote yupo laini laini kama maini.
Nendeni jando jombaaa, mwanaume wa ukweli unatakiwa utahiriwe bila ganzi upo?
nani atahiriwe bila ganzi?

na niwe govinda milele tu
 
Na kubishania mpira, utasikia " messi katudanganya sisi fans wake" kuanzia asubuhi hadi jioni imetoka hiyo
 
Umekosa kabisa mfano hai kwenye jamii za kitanzania?
Anyway ungeweza hata kumtumia Mwl Mstaafu John magufuli na Mwl Janeth, wametoka mbali sana hawa wawili hadi kufikia hatua ya kuongoza taifa kubwa duniani
Taifa kubwa duniani???[emoji15][emoji15][emoji15]
 
We umefukuza wangap?
 

[emoji23][emoji23][emoji23] nyie viumbe nyie sijawahi ona kwakwel
 
Ila mkiwa na miaka 35+ mnatafuta bora awe mwanaume na mkiwa na miaka under 20 huwa mna mapenz ya kweli.

Sasa 20yrs up 34 mnajifanya mnatafuta tajiri na awe wa peke ako hongeleni sana msiwe basi na wivu na wenzenu pia wanataka huyo huyo tajiri wako
 
alikutongoza sijui umemtongoza, ukakubali, ukavua samaki, ukamkaribisha home, hukujua yote haya? SHUMAMITI kua na adabu
 
Aisee mambo mengi muda mchache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…