Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

Hahaha nakumbuka wifi yangu alimwambia kaka wkti ni mgonjwa si uwafuate hao ndugu zako waku uguze maana wao si ulikuwa unawaona wa maana mimi ukaniona ni bwege mtozeni [emoji23][emoji23]
Daah sooo Sadi[emoji777]
 
Saingine mwanamke anaanza visa visa akiwa tayari ana mtu wa kumkuna nje huko so hataki umguse siku hio! Anakunyoosha tu na makelele kukutoa kwenye raiti traki!
 
Siwezi acha kutoa kitu kilicho jeruhi moyo wangu na hivi vitu wanaume hupuuza lakini huua hisia za mapenzi na kubaki kuishi kimazoea tu.
Hahahahahah kwahio mambo yalishapita na mkasameheana ila bado una kisasi😅?

Hii inaonesha mume aliposafiri, huyu mwanamke ameshaanza kuliwa na muhuni flani na anamkojoza kweri kwerii hivyo jamaa amerudi ila mke hisia zishahamia mtaa wa pili so ameanzisha varangati sababu anajua fika jamaa ataomba game na yeye genye nae hana kabisa!

Hii michezo wandewa tu ndio tunaielewa.
 
Wanawake wanatunzaga visasi kichizi😅
 
Siwezi acha kutoa kitu kilicho jeruhi moyo wangu na hivi vitu wanaume hupuuza lakini huua hisia za mapenzi na kubaki kuishi kimazoea tu.

Yaani haya majeraha hayaponagi aisee. Yaan hayaishagi. Na huwa namsimuliaga partner wangu ila anaona kama vile namfanyia kusudi kumrusha roho ama kumuumiza kumbe hapana. Ni tahadhari nampa ili asije fanya alichonifanyia aliyepita. Unajua bwana, maumivu ya mapenzi hayazielekagi. Hata siku moja. Na kadiri unavyoexperience ndo yanachoma balaa.
 
Hello twin [emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app

He he he yaan hawaelewagi tukilalamika tunatama tufanyweje. Na wao wanaamsha popo. A man should be sweet and gentle bana. Nikianza kulalamika nibanie kifuani, kiss me, nipe hata story za bulicheka huko. Nibembelezee uone kama nna ujanja.

Ilaaa naapeendaaa kudeeeekaaaa mimi jamanaiiii[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] ujue rahaaa. Sasa mtoto wa kike usideke kuna raha gani zaidi tena hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…