Mwanamke kufukua makaburi bila sababu inatokana na nini?

Shida sikuhizi upendo wa kweli hamna zaidi ya watu kupenda watu kulingangana na status au uchumi flani. But kuumizana hisia na kutaka kusamehewa huwa ni za wanaume wengi Yani huwa wanaona wao kukosea ruksa
 
Hilo kosa halisahauliki kamwe mimi nabaki tu ili watoto wakue basi tena heri kufanyia umalaya mbali na sio ndani hapo hapo hafu kirahisi huwa mnataka kusamehewa loh
 
Nilitaman kujua nini kiliendelea
 
Tabia zenu ma ponjoro hizi kuwala mabeki tatu๐Ÿ˜… haifai na muache! Huyo mtumishi kaja kusaidia kazi sio kubakwa...shabash!
 
Dawa ya moto ni moto tu ๐Ÿ˜… mabaharia hatuishiwi mbinu kizembe
 
Kamanda kashapigwa humo, mtoto wa kike anatambaa na chaki tu kuhalalisha jambo lake kuwa chanzo ni kisasi ila deep down anauza utu tayari
 
Wanaume wao hu move on ila wanawake hubaki wakiumia ndani kwa ndani nakuendelea na huyo mtu nfano cheating mwanaume hakurudii ng'o
Heheheheh unajua kabisa ikithibitika tu umeuza utu imeisha hio ๐Ÿ˜… unapigwa chini mazima! Hamnaga msamaha kwa malaya aisee
 
Sio kama
wanawake wengi tuna mapepo mana hata mm nikimpenda mtu naweza kuamka tu nikaanza kulia bila sababu anibembeleze tu yani, kumuona mwanaume wako anakua free tu hakuzingatii hatuwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni drama tu๐Ÿ˜… wanawake mna drama kichizi aisee nashukuru mungu nina mwanamke matured
 
Shida sikuhizi upendo wa kweli hamna zaidi ya watu kupenda watu kulingangana na status au uchumi flani. But kuumizana hisia na kutaka kusamehewa huwa ni za wanaume wengi Yani huwa wanaona wao kukosea ruksa
Ni mitihani sana hawa viumbe. Hawaonagi kukosea asilani. Wanaonaga wao ni perfect sana. Sijui ni nature hata sielewagi. Wanajiamink sana ni malaika. Basi tu ni vile sisi wanyonge.

And yes, wanaangalia status ya familia ndo wamake move. Kitooongaaaa[emoji23][emoji23]
 
Hahaha nakumbuka wifi yangu alimwambia kaka wkti ni mgonjwa si uwafuate hao ndugu zako waku uguze maana wao si ulikuwa unawaona wa maana mimi ukaniona ni bwege mtozeni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dah wifi yako nae anae kichaa aisee
 
Unamdekeaje baharia wewe[emoji28] tafta bwana wa kihindi huko
Pumbavuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaqh unateseka ukiwa wapi. Ila baharia wangu anazingua jamani. Achomwe moto ama aachwe? Nichagulie mtani letu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ