ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kutaka kulewa kwa kunywa wine ni upotevu wa pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha wewe mtu umenichekesha kweli
pole sana dogo, wanakuwaga hivyo wengi, ukimpa chance ya out inakuwa kama anakukomoa,Asee acha,kuna kuku hyo inaitwa changamoto,wanapika roast ya kuku ya vitunguu tupu,vinakua viing,asee ni tam balaa,haina nyanya hyo,hyo vitunguu tup,bas huyu singo maza wangu,yaan anaanza kukukumbushia kwenye gar,nna ham ya changamoto,..bas nakaaga kimyaaa.sina jinsi
Baridi inalewesha baadae..yamoto unaipata palepale..Ivoo Leo nimejifunza kitu Kumbe baridi na moto vina energy tofauti lakini wataalamu wa wine wanadai red kamwe isiende baridi na white kamwe isiende moto Kutokana na sababu za kiafya
Na haya mambo naona Hapa kwetu Tz mtu anakunywa Chupa mbili za wine...wakati ninavyojua mimi chupa moja ya wine Kushare watu wawili ndiyo sahihi tena ni nzuri baada ya shibe au kabla ukiwa unasubiri chakula....Lkn Bongo hii wine imegeuzwa mtu anakunywa ili alewe kabisa.si mtafute na Serengeti na Heineken na Castle lager ndiyo kazi zake hizo.Wine na Iheshimiwe jamaniShukrani mkuu..wine unatakiwa kunywa glasi moja au mbili..
Kama mtubanstaka kulewa anywe bia au spirit
aiseeeee wewe unaakili mnooo...hivi kama hamna hela kwa nini msijikalie mbali na mapenzi kama mimi tu?
hahaaaa eti changamotoAsee acha,kuna kuku hyo inaitwa changamoto,wanapika roast ya kuku ya vitunguu tupu,vinakua viing,asee ni tam balaa,haina nyanya hyo,hyo vitunguu tup,bas huyu singo maza wangu,yaan anaanza kukukumbushia kwenye gar,nna ham ya changamoto,..bas nakaaga kimyaaa.sina jinsi
Pole mkuuSi unajua ile umemtoa mtu sehemu unamuulizia anahitaji kinywaji gani utasikia" Lobertson" akimaanisha Robertson.
Unaona shiyo ishu unaagiza huku wewe ukipunguza machungu kwa kunywa local bia ingawa si type yako as umezoea kunywa Heinkein,Whindhoek na vingine vya juu.
Unashangaa gashi amekunywa chupa ya kwanza ya wine chupa ya pili, chupa ya tatu, cha ajajbu zaidi anajaza glasi mpaka inataka kumwagika.
Jamani jamani huu siyo ushamba kweli jamani!
Wine ni kinywaji cha wastaarabu, kama umezoea kunywa viroba usinywe wine ili ulewe kama umekunywa viroba.
SureNa haya mambo naona Hapa kwetu Tz mtu anakunywa Chupa mbili za wine...wakati ninavyojua mimi chupa moja ya wine Kushare watu wawili ndiyo sahihi tena ni nzuri baada ya shibe au kabla ukiwa unasubiri chakula....Lkn Bongo hii wine imegeuzwa mtu anakunywa ili alewe kabisa.si mtafute na Serengeti na Heineken na Castle lager ndiyo kazi zake hizo.Wine na Iheshimiwe jamani
Ndiooo. Hivi Savannah iliishia vipi???Hahahaa kuna kipindi Quality centre kulikua bar inaitwa Savannah, wale Jamaa walifunga AC km 8 hivi ukiingia pale unakunywa vyombo vya kutosha na unakua fiti tu ila ukitoka nje ndo unaanza kujiona umelewa
Inaitwa changamoto hivo hivo,triple 7 moja unapata hiyo kituuuhahaaaa eti changamoto
mkuu hiyo yaitwa MAKANGE ...daahh kwahiyo navisa vyote hvyo huyo mwanmke bado upo nae aiseee
mkuu unaroho ngumu mnoo
ukikufilisi njoo utuambie pia