Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

Hawajielew,yaan wanapataga second chance halaf wanazichezea,ujue kutembea na singo maza ni kwamba umejitoa muhanga yaan,..singo maza lazma a behave,sasa yeye tayar ana uwalakini halaf bado anaish maisha yaleyale yaliyomfanya aachwe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee
 
Sio ballantines,ni ile bellaire ya rickross ile anayoitangaza diamond sana,...mim wala sio mkubwa,..kanizid miaka 6,am 29,..wel nafuta kaul ya singo maza,ila kwakwel hawa wadada ni changamoto,mi ananikera anapenda makuu,..bday ya mwanae kanambia nimpeleke giraffe hotel mwanae akaswimm ,imagine,nkagoma nkamwambia kwakwel hapana siko vzur,akanambia mwanae anapapenda pale alizoea kwenda,maanina nilimind ila skusema chochote,imagine mtu wa namna hyo,hata wew angekukera,..yaan experience ya singo mazas kwangu ni hovyooo kabsa.najuta,..ila,tuu ni mzur sana na anayajua mambo,ukiona mdada unampiga mashine ana squart kwa kelele huyo sio wa kumwacha,ndo hapo tu aliponteka mie,mi napenda sana ile kitu
Ana squat duh! Afadhali anaye squirt.
 
Inategemeana na hyo wine unainunua wapi mkuu...bei inabadilika kulingana na eneo
Siyo mbaya kama mtu unamfukunyua. Mimi sioni shida kutumia kama mtu ananipa utamu.
Ushauri, siku nyingine kama hauko vizuri mwambie tu mama fulani naomba unywe tu castle lager uliyoizoea sikompoa leo. kama ni mwelewa atakuelewa.
 
Wala simnyanyasi,huyu dada ungemjua hata wew unge mind,anapenda mambo makubwa sana,..siku ya kwanza tunatongozana namuuliza sasa twende kiwanja gan weekend,ananambia yeye kazoea kwenda kempisky kwa dj peter mo,..baada ya kumgonga nkaanza mpeleka baa za tabata kule ,mara akanipeleka kwake,ni wakawaida saaana,sku1 baada ya muda mref nkamuuliza hiv we sku ile kunambia vile ulikua unantingishaa ama nin,..yaan anapenda makuu,xmass ananambia anataka aonje ile belaire,mi hata siijui inauzwaje,nkamwambia acha hayo mambo bwana,akamind,yan ananiuz balaa,ni mshamba sjui
Belaire 130000 Laki na thelathini
 
hahaaaa eti changamoto
mkuu hiyo yaitwa MAKANGE ...daahh kwahiyo navisa vyote hvyo huyo mwanmke bado upo nae aiseee
mkuu unaroho ngumu mnoo
ukikufilisi njoo utuambie pia
Mkuu hyi inaitwa changamoto,sio makange,nenda baa za tabata ndo utaikuta,makange nayajua,siyapend,changamoto ndo habar ya mjin sasa,ipo hata ya mbuzi,kitimoto etc.
 
Hiv mtu unakunywaje chumba mbili za wine jameni,daaa,ila,wadada wa mjin ni kiti ya kawaida,kuna huyu singo maza wangu bila chupa 3 za saint anna au robertson bado hamjatoka yan,daah,..halaf sasa cha ajab mim sinyw pombe,hata kuonja yaan.mi nagonga juice hapo au tonic ,na hapo kwenye gar ana tayar kagonga chupa mbili za castle.daaa
Utakoma nae Asee
 
Back
Top Bottom