Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Si unajua ile umemtoa mtu sehemu unamuulizia anahitaji kinywaji gani utasikia" Lobertson" akimaanisha Robertson.

Unaona shiyo ishu unaagiza huku wewe ukipunguza machungu kwa kunywa local bia ingawa si type yako as umezoea kunywa Heinkein,Whindhoek na vingine vya juu.

Unashangaa gashi amekunywa chupa ya kwanza ya wine chupa ya pili, chupa ya tatu, cha ajajbu zaidi anajaza glasi mpaka inataka kumwagika.

Jamani jamani huu siyo ushamba kweli jamani!

Wine ni kinywaji cha wastaarabu, kama umezoea kunywa viroba usinywe wine ili ulewe kama umekunywa viroba.
 
Si unajua ile umemtoa mtu sehemu unamuulizia anahitaji kinywaji gani utasikia" Lobertson" akimaanisha Robertson.

Unaona shiyo ishu unaagiza huku wewe ukipunguza machungu kwa kunywa local bia ingawa si type yako as umezoea kunywa Heinkein au Whindhoek.

Unashangaa gashi amekunywa chupa ya kwanza ya wine chupa ya pili, chupa ya tatu, cha ajajbu zaidi anajaza glasi mpaka inataka kumwagika.

Jamani jamani huu siyo ushamba kweli jamani!

Wine ni kinywaji cha wastaarabu, kama umezoea kunywa viroba usinywe wine ili ulewe kama umekunywa viroba.

Kwani unapomkunja chumbani kwa kila style huwa unamkomoa au unalipiza pesa yako?
 
Hiv mtu unakunywaje chumba mbili za wine jameni,daaa,ila,wadada wa mjin ni kiti ya kawaida,kuna huyu singo maza wangu bila chupa 3 za saint anna au robertson bado hamjatoka yan,daah,..halaf sasa cha ajab mim sinyw pombe,hata kuonja yaan.mi nagonga juice hapo au tonic ,na hapo kwenye gar ana tayar kagonga chupa mbili za castle.daaa
 
Ukishamjulia usimpeleke viwanja vya gharama...au uwe unaziweka ndani akija anazikuta...
 
Hiv mtu unakunywaje chumba mbili za wine jameni,daaa,ila,wadada wa mjin ni kiti ya kawaida,kuna huyu singo maza wangu bila chupa 3 za saint anna au robertson bado hamjatoka yan,daah,..halaf sasa cha ajab mim sinyw pombe,hata kuonja yaan.mi nagonga juice hapo au tonic ,na hapo kwenye gar ana tayar kagonga chupa mbili za castle.daaa
daa kwanini mnawaandamaga sana single mother mkuu
 
jaman nimecheka had machozi !dah !anywya @mr mtui 'lobertson' sio kitu kama unakunywa wine !ni very light aisee ! hahaha dah ngj nicheke nitarudi !
wanawake wenzangu muonage aibu jaman mnagongaje vyupa 3? hahahahah uwiiiii wapi demi ! dah bora ninywe alter wine 1 kuliko hyo unayosema 'lobertson'1 ! au bora usinywe kabisaaa !hahaha nimecheka sana jaman na the way ulivyoiandika kama namuona huyo mdada !lol

wapi NAMESHE
 
Hiv mtu unakunywaje chumba mbili za wine jameni,daaa,ila,wadada wa mjin ni kiti ya kawaida,kuna huyu singo maza wangu bila chupa 3 za saint anna au robertson bado hamjatoka yan,daah,..halaf sasa cha ajab mim sinyw pombe,hata kuonja yaan.mi nagonga juice hapo au tonic ,na hapo kwenye gar ana tayar kagonga chupa mbili za castle.daaa

hahaha ukiona hvyo ni stress msamehe !lol
 
Back
Top Bottom