Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Achana na lager kunywa wine tu...Yap nitaacha soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na lager kunywa wine tu...Yap nitaacha soon
Hahah uson hayafik,ila kifuan na tumbon,...chin pale nawekaga taulo flan hiv ili nisiteleze kwenye tilesKazi kubwaa hiyo hayakurukiagi usoni ahahah
Naacha kuanzia leo. Hangover inaniendesha sana.Good gal.
Maamuzi magumuHehehe asante
Hapo Umeongea Ukweli 100%...Hakuna kitu kizuri kama kuwa na mahusiano na Mdada Mkubwa....Uta enjoy maisha hasa ukute hana tabia za Ki-Paka-Paka...trust me maisha huwa ni mazuri asikwambie mtu.Wadada wakubwa hawabaniag papuch hata sku1,kanipita 6yrs.hahaha,..yaan anakupa had unakimbia wew
Bia chungu nishashindwa,,nakunywa vile vitamu tamu,,ila whisky nimeikubali haizingui asubuhi unaamka poa kabisa sema inaua maini hahahaaAchana na lager kunywa wine tu...
Hahaha,ndo mana niko makin,af dem nikimjuaga tuu ananitumia bas upendo hua unapungua had mwisho nampiga chin,ila ananiuz sana.Angalia kwa jicho la tatu atakua na jini mufilisi hahahah am kidding!
Kunywa whisky hutojutaNaacha kuanzia leo. Hangover inaniendesha sana.
Nipo Mkoani
ha ha ha unapigaga ule mchupa wote au vishots tu?Mbona mi napiga hivyo vi tequila hata silewii ,na hapo nishakunywa bia
Whisky niliacha ila itabidi nirudi. Heineken hazinitaki naonaKunywa whisky hutojuta
Ndio tumia sweet wine kama Namaqua,dompo..Bia chungu nishashindwa,,nakunywa vile vitamu tamu,,ila whisky nimeikubali haizingui asubuhi unaamka poa kabisa sema inaua maini hahahaa
Vishots tu,, ilivyo na ladha mbaya vile unywe chupa zima kaaaahha ha ha unapigaga ule mchupa wote au vishots tu?
Hakuna cha ufake...ndio maisha yalivyo hivo mdogo ake Deo KisanduMademu wa wine ni fake sana
hakuna raha kama kutoka out na msichana mzurii halafu yupo real mnaenda sawa safari au balimi na embasy
mnaongea lugha moja round mkiongeza mnaenda sawa
pakti la sigara analo yeye
kiberiti umeshika wewe.
Bill ikija anataka kuchangia (usiruhusu)
Inaleta njaa hiyooWhisky niliacha ila itabidi nirudi. Heineken hazinitaki naona
Dompo jamani labda unywee home tuNdio tumia sweet wine kama Namaqua,dompo..
Niko kwenye vita ya kuachana nayo. Nirudi whisky na wine tu.Inaleta njaa hiyoo
[emoji23] [emoji23]Hakuna cha ufake...ndio maisha yalivyo hivo mdogo ake Deo Kisandu
Hahahah kwakweli nilistuka mno nikasema kama unagonga ile chupa mwenyewe yaani itabidi nikualike one day nipate uzoefu.Vishots tu,, ilivyo na ladha mbaya vile unywe chupa zima kaaaah