Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

Mwanamke kunywa wine zaidi ya chupa moja ni uroho au kukomoana?

Wadada wakubwa hawabaniag papuch hata sku1,kanipita 6yrs.hahaha,..yaan anakupa had unakimbia wew
Hapo Umeongea Ukweli 100%...Hakuna kitu kizuri kama kuwa na mahusiano na Mdada Mkubwa....Uta enjoy maisha hasa ukute hana tabia za Ki-Paka-Paka...trust me maisha huwa ni mazuri asikwambie mtu.
 
Mademu wa wine ni fake sana

hakuna raha kama kutoka out na msichana mzurii halafu yupo real mnaenda sawa safari au balimi na embasy

mnaongea lugha moja round mkiongeza mnaenda sawa

pakti la sigara analo yeye
kiberiti umeshika wewe.

Bill ikija anataka kuchangia (usiruhusu)
 
Angalia kwa jicho la tatu atakua na jini mufilisi hahahah am kidding!
Hahaha,ndo mana niko makin,af dem nikimjuaga tuu ananitumia bas upendo hua unapungua had mwisho nampiga chin,ila ananiuz sana.
 
Mademu wa wine ni fake sana

hakuna raha kama kutoka out na msichana mzurii halafu yupo real mnaenda sawa safari au balimi na embasy

mnaongea lugha moja round mkiongeza mnaenda sawa

pakti la sigara analo yeye
kiberiti umeshika wewe.

Bill ikija anataka kuchangia (usiruhusu)
Hakuna cha ufake...ndio maisha yalivyo hivo mdogo ake Deo Kisandu
 
Back
Top Bottom