Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Sijaelewa wapi tumezungumzia mambo ya sindano...... Tundu ya sindano imekujaje tena hapo ha ha ha ha ha
Ha ha ha njia ya muongo fupi sana ushasahau ulichoandika nyuma!Au kwasababu ni rahisi sana kusema kuliko kutekeleza?
 
Sema unataka knowledge sio kupiga chenga za mwili. Sasa nitazungumzaje kitu nisichokijua....
Hujui kwasababu unabase kwenye hormonal pills tu wakati kuna factors nyingine umeziacha!Ukiongea vitu hasa unavyojifanya unavijua useme vitu vilivyokamilika sio upande mmoja kwasababu unatetea hoja yako na kubase on negativity!Hakuna kitu kisichokuwa na disadvantages bila advantages hapo ndio unachemka!
 
Hivi alipoumbwa adam na hawa walifungishwa ndoa?au waliambiwa wakazaliane wajaze ulimwengu?
Shida mnachojua ni kuwa ndoa ni sherehe ya magari ya mapambo kama vogue, limousine etc, vigelegele vya mashangazi, bridesmaids na groomsmen, ukumbi mkubwa, vyakula vya kila aina na vinywaji, mapambo ya ukumbi, picha, video shooting na vyote vya kisasa.

Ila unasahau kuwa ndoa ni baraka za MUNGU katika uhusiano wa mume na mke wanapoamua kuanza maisha ya pamoja na kuanzisha uzao (ukoo) wao kwapamoja.

Sasa wewe MUNGU alipomleta eve katika maisha ya adamu unadhani aliwaambia wakaishi bila kubariki ule uhusiano?!

Katika maisha ya sasa unahitaji baraka za wazazi, ndugu jamaa na marafiki na ndio maana tunaandaa sherehe ya ndoa. Lakini muhimu zaidi unahitaji baraka za kiroho kupitia ibada maalumu ya ndoa.

Sasa kama wazazi wako hawakukuonyesha hilo au familia yako hawajakuandaa kwa hilo then usiassume kuwa ni kitu kisicho cha lazima.

Unaona sasa point ya kulea watoto malezi na makuzi ya kuvielewa vitabu vya MUNGU na kushika mafunzo yake, ni ili kusiwe na watu wanaokuja kukosa mitazamo sahihi wanapokuwa wanaingia utu uzima kama namna wewe unaanza kutaka kupotea. Binti mzuri ila unaanza kujiharibia mapema kwa vituko visivyo na mbele wala nyuma. Yaani kuwashwa tu na usichana unashindwa kujicontrol kaone....
 
This is not a joke umenifurahisha sana unavyojiamini wakati huna unalojua!
Sasa kuna haja gani ya kupretend na wakati naujua ukweli.

So mfano hakuna ninalojua, sema nisichokijua ni kipi wewe unaekijua?!
 
Ndoa sio sherehe,harusi ndio sherehe!Jua unachokisema.Ndoa haihitaji sherehe!Ndoa inahitaji baraka tu,hivi unasahau ukishalala na mtu tu umejenga agano nae,huo tayari ni mkataba! Nyingine zote ni nakshi tu tunajiwekea!
 
Reactions: Cyb
Sasa kuna haja gani ya kupretend na wakati naujua ukweli.

So mfano hakuna ninalojua, sema nisichokijua ni kipi wewe unaekijua?!
Hujui rafiki kwasababu you are just running into circles,huwezi kupita hapa unaniongelea mm na hunijui na sikujui,ur making urself look dumb.Just know hizo mbio zako hazina mwisho!We zunguka kizungumkuti!
 
So unakataa kuwa contraceptive pills, na njia zingine za uzazi wa mpango hazijaleta side effects kwenye hormones za Mwanamke?!

Hivi kweli wewe upo serious na uanamke we mtoto?!
 
Ndoa sio sherehe,harusi ndio sherehe!Jua unachokisema.Ndoa haihitaji sherehe!Ndoa inahitaji baraka tu,hivi unasahau ukishalala na mtu tu umejenga agano nae,huo tayari ni mkataba! Nyingine zote ni nakshi tu tunajiwekea!
Sijajua kama una matatizo ya macho au unajaribu tu kunichanganya ili unipotezee muda.

Nimekwambia sherehe ya ndoa..... Sijasema ndoa ni sherehe mbona mzito kuelewa wewe, hivi ukikaa na mwanaume ndani siutakuwa unambishia hata mambo yasiyo na maana?!

Wewe tayari unaanza kuonesha ishara za bad apple...... Hebu just be a lady and understand acha kuforce arguments ambazo unajua u have no right to argue.
 
Hujui rafiki kwasababu you are just running into circles,huwezi kupita hapa unaniongelea mm na hunijui na sikujui,ur making urself look dumb.Just know hizo mbio zako hazina mwisho!We zunguka kizungumkuti!
Weka hoja zako in line JF sio sehemu ya mipasho kutaka kushinda kwa maneno ya taarabu. Weka hoja kwa hoja....

Kama unajua jambo lijengee hoja acha kuzunguka ukitaka kushinda kwa maneno mengi yasiyo ya uzito wa hoja, unajaza server za JF.
 
So unakataa kuwa contraceptive pills, na njia zingine za uzazi wa mpango hazijaleta side effects kwenye hormones za Mwanamke?!

Hivi kweli wewe upo serious na uanamke we mtoto?!
Zinaleta lakini na benefits zake je? Au everything is wrong with contraceptives?
 
Zinaleta lakini na benefits zake je? Au everything is wrong with contraceptives?
Nipe tu faida tatu za contraceptive hapa sasa hivi nakusikiliza..... Nipe tatu 3 ili nikusaidie kuwa yale madude mafunzwa darasani ni kujaza upuuzi vichwani mwetu
 
Inaonekana hata kiswahili kinakupiga chenga ndo nakufundisha usichanganye vitu na usibadili maneno!Ndoa haihitaji sherehe.
 
Nipe tu faida tatu za contraceptive hapa sasa hivi nakusikiliza..... Nipe tatu 3 ili nikusaidie kuwa yale madude mafunzwa darasani ni kujaza upuuzi vichwani mwetu
Since wewe mjuaji kuliko mimi sihitaji kujibu swali lako.Huna knowledge ya level yangu itakuwa unanipotezea muda wangu!
 
Weka hoja zako in line JF sio sehemu ya mipasho kutaka kushinda kwa maneno ya taarabu. Weka hoja kwa hoja....

Kama unajua jambo lijengee hoja acha kuzunguka ukitaka kushinda kwa maneno mengi yasiyo ya uzito wa hoja, unajaza server za JF.
Hivo ww ushajiuliza unafanyaga nn mpaka wakati mwengine nawonder kama kweli we jinsia ME? Unajifanya mjuaji unajua kukandamiza wanawake. Au ndo ile dizain ya wavulana blah blah blah nyingi ikisha hamna kitu?
 
Ndoa sio sherehe,harusi ndio sherehe!Jua unachokisema.Ndoa haihitaji sherehe!Ndoa inahitaji baraka tu,hivi unasahau ukishalala na mtu tu umejenga agano nae,huo tayari ni mkataba! Nyingine zote ni nakshi tu tunajiwekea!
Kwahiyo ukilala na wa 5 unakuwa umeweka mkataba na wa 5
 
Yote tufanye mzaha ila ndoa tamu...... Na watoto sasa ndo usiseme,
achen woga oleweni wadogo/dada zangu, personal 8 years in marriage
sjajuta bado.....
 
Na furaha ya kweli inaanza na mtu mmoja mmoja

Kuoa ni mpango wa Mungu waliowekewa wanapokea pasipo hofu wala Shaka kwa kuwa Mungu ndiye mwanzilishi wa ndoa .

Ukiwa na Raha na upendo toka ndani yako hata ndoa itareflect
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]easy bro. Ahsante kwa ushauri though nitaufanyia kazi.
 
Ameeeeen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…