Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Kuolewa na kuoa si jambo la lazima, ni uamuzi wa muhusika tyuuh. Hebu tuache fikra potofu na za kupitwa na wakati.
 
 
asante sana
 
Sasa ukitaka umpate then hizi jeuri jeuri na majibu ya kiburi na kuonyesha kuwa hubabaishwi na kitu muwe mnaacha.

Mbona hadi mama zenu wanawashangaa ninyi mabinti wa siku hizi, wanasema sisi hatujawalea wala kuwafundhisha vitu wanavyofanya......
sio wote jmn
 
Inaonekana hata kiswahili kinakupiga chenga ndo nakufundisha usichanganye vitu na usibadili maneno!Ndoa haihitaji sherehe.
Kati ya mimi na wewe ni nani aliesema kwa kuuliza "adam na eve walifungishwa ndoa na nani, hadi iwe kosa kwa watu kuanza maisha bila ndoa?! Hayo si ni maneno yako kule juu au...?!
 
Since wewe mjuaji kuliko mimi sihitaji kujibu swali lako.Huna knowledge ya level yangu itakuwa unanipotezea muda wangu!
You have proven yourself being incapable to discuss serious issues intellectually. So next time unapoanzisha discuss kuwa na viambatanishi ndio uanze mijadala.
 
Hivo ww ushajiuliza unafanyaga nn mpaka wakati mwengine nawonder kama kweli we jinsia ME? Unajifanya mjuaji unajua kukandamiza wanawake. Au ndo ile dizain ya wavulana blah blah blah nyingi ikisha hamna kitu?
Unanipotezea muda hamna cha maana tunarumbana hapa. The thing is naona unahangaika kuwa valid na hoja zako zisizo na msaada kwako wala jamii yako.

Tutaongea na JF moderators wawajengee watoto playground platform yenu, mkiwa wakubwa ndio mje mjoin platforms za sisi kaka na dada zenu kwa sasa mna kelele nyingi sana.
 
Kwahiyo ukilala na wa 5 unakuwa umeweka mkataba na wa 5
Kanajifunga na maneno yake kenyewe ukikauliza kanakuwa kabishi. Vitoto vya kike vya siku hizi ni disgraceful sana namna vinafikiria. Vinakalia ubishi ubishi tu sasa haka uoe uweke ndani halafu kanaleta ligi hivi, si unajikuta tu umeshakachapa mbata[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuolewa na kuoa si jambo la lazima, ni uamuzi wa muhusika tyuuh. Hebu tuache fikra potofu na za kupitwa na wakati.
Ukishasema hivi tafasiri yake ni kuwa ndoa ni option, sasa why una discuss kitu ambacho kwako ni option?!
 
sio wote jmn
Good usiwe kama haya matoto ya kike mengine mabishi mabishi na majeuri, pia kaa mbali na wanaume majangiri. MUNGU akutumie malaika wa ulinzi wakufunike na kukuongoza njia nzuri.

Shika maandiko ya imani, tazama mwenendo wako na usali sana, usali kutoka moyoni, hakika hautamaliza miaka miwili utapata njia yako kuelekea ndoto ya ndoa takatifu.
 
Ukishasema hivi tafasiri yake ni kuwa ndoa ni option, sasa why una discuss kitu ambacho kwako ni option?!
Mie huyu ni discuss kitu ambacho maamuzi yake natoa mie? Hapana kwakweli, nawaangalia tu watu humu wanavotoa hoja zao.
 
You have proven yourself being incapable to discuss serious issues intellectually. So next time unapoanzisha discuss kuwa na viambatanishi ndio uanze mijadala.
Aisee kama hii intellectuality yako ni kushoboka na kuwa na personal attacks ur JF genius dude!Congrats for that!πŸ‘
Nimejiona nitakuwa mpumbavu sana nikibishana na mpumbavu hasa kwenye fani yangu!
 
Aisee

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…