Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana. Na sisi mnavyotuona hapa tunapiga kelele usiku na mchana kukemea Ma'single mother na vijana wanaozaa zaa hovyo na binti kisha hawaoi.
Tunakemea ili watoto wasije kupitia experience kama hiyo uliyopitia ya baba kuwachanganya kila mtoto na mama yake.
Huwa ni mbaya sana. Anae umia ni mtoto. Ona sasa kama hapa unakuwa unapata wakati mgumu sana kuelewa why wanawake wanalaumiwa au kwann watu wasipoolewa wanaoneakana ni wa ajabu.
That's the problem.
Anyways its not your fault and may God bless you daughter and keep you safe, uondokane na mikosi itakayokuingiza kundi la wanawake watakao zaa hovyo bila kuwa na ndoa ya one man with all the kids from him.
Be safe be bless
asante sanaNdio maana. Na sisi mnavyotuona hapa tunapiga kelele usiku na mchana kukemea Ma'single mother na vijana wanaozaa zaa hovyo na binti kisha hawaoi.
Tunakemea ili watoto wasije kupitia experience kama hiyo uliyopitia ya baba kuwachanganya kila mtoto na mama yake.
Huwa ni mbaya sana. Anae umia ni mtoto. Ona sasa kama hapa unakuwa unapata wakati mgumu sana kuelewa why wanawake wanalaumiwa au kwann watu wasipoolewa wanaoneakana ni wa ajabu.
That's the problem.
Anyways its not your fault and may God bless you daughter and keep you safe, uondokane na mikosi itakayokuingiza kundi la wanawake watakao zaa hovyo bila kuwa na ndoa ya one man with all the kids from him.
Be safe be blessed.
sio wote jmnSasa ukitaka umpate then hizi jeuri jeuri na majibu ya kiburi na kuonyesha kuwa hubabaishwi na kitu muwe mnaacha.
Mbona hadi mama zenu wanawashangaa ninyi mabinti wa siku hizi, wanasema sisi hatujawalea wala kuwafundhisha vitu wanavyofanya......
sawa ntajitahidiUsizae sasa. Unatujazia watoto wa hovyo huku mtaani ebo....
Kati ya mimi na wewe ni nani aliesema kwa kuuliza "adam na eve walifungishwa ndoa na nani, hadi iwe kosa kwa watu kuanza maisha bila ndoa?! Hayo si ni maneno yako kule juu au...?!Inaonekana hata kiswahili kinakupiga chenga ndo nakufundisha usichanganye vitu na usibadili maneno!Ndoa haihitaji sherehe.
You have proven yourself being incapable to discuss serious issues intellectually. So next time unapoanzisha discuss kuwa na viambatanishi ndio uanze mijadala.Since wewe mjuaji kuliko mimi sihitaji kujibu swali lako.Huna knowledge ya level yangu itakuwa unanipotezea muda wangu!
Unanipotezea muda hamna cha maana tunarumbana hapa. The thing is naona unahangaika kuwa valid na hoja zako zisizo na msaada kwako wala jamii yako.Hivo ww ushajiuliza unafanyaga nn mpaka wakati mwengine nawonder kama kweli we jinsia ME? Unajifanya mjuaji unajua kukandamiza wanawake. Au ndo ile dizain ya wavulana blah blah blah nyingi ikisha hamna kitu?
Kanajifunga na maneno yake kenyewe ukikauliza kanakuwa kabishi. Vitoto vya kike vya siku hizi ni disgraceful sana namna vinafikiria. Vinakalia ubishi ubishi tu sasa haka uoe uweke ndani halafu kanaleta ligi hivi, si unajikuta tu umeshakachapa mbata[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo ukilala na wa 5 unakuwa umeweka mkataba na wa 5
Amina amina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]easy bro. Ahsante kwa ushauri though nitaufanyia kazi.
Ukishasema hivi tafasiri yake ni kuwa ndoa ni option, sasa why una discuss kitu ambacho kwako ni option?!Kuolewa na kuoa si jambo la lazima, ni uamuzi wa muhusika tyuuh. Hebu tuache fikra potofu na za kupitwa na wakati.
Good usiwe kama haya matoto ya kike mengine mabishi mabishi na majeuri, pia kaa mbali na wanaume majangiri. MUNGU akutumie malaika wa ulinzi wakufunike na kukuongoza njia nzuri.sio wote jmn
Mie huyu ni discuss kitu ambacho maamuzi yake natoa mie? Hapana kwakweli, nawaangalia tu watu humu wanavotoa hoja zao.Ukishasema hivi tafasiri yake ni kuwa ndoa ni option, sasa why una discuss kitu ambacho kwako ni option?!
Aisee kama hii intellectuality yako ni kushoboka na kuwa na personal attacks ur JF genius dude!Congrats for that!👏You have proven yourself being incapable to discuss serious issues intellectually. So next time unapoanzisha discuss kuwa na viambatanishi ndio uanze mijadala.
Exactly!!Kwahiyo ukilala na wa 5 unakuwa umeweka mkataba na wa 5
Sasa itakuwajeExactly!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujapata mtu wa kukuoa tusichoshane
Aiseehela yako tumia kununua uzuri ili uolewe then mumeo atakupangia aina ya maisha ya kuishi
kitu ambacho hujui sisi wanaume tuna tabia ya kumchagua wa kumuoa pasipo aliyechaguliwa kujijua kisha tunatafuta maisha kwa ajili yao siku boom nimezipata namfata with in a year ndoa
utashangaa ana bahati hajakaa kwenye uchumba mda mrefu
kumbe jamaa alikua one side relationship over 3 to five years ili siku ya kupropose asiwe kichekesho
mengi hamjui kuhusu wanaume
Espy
kopi kwa Karucee
naruhusu mjadala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah the problem is maisha ili yawe na maana ni vyema kuwa na familia! We both need that na ndio maana waliojaaliwa wanaoa na kuolewa! Its a natural thing kwamba itafikia wakati lazma mwanamke aolewe afanye familia yake na mumewe!
Ila kwa ma Sadist wengi na feminist ndio wanataka kulifanya hili kama vile sio muhimu na kuwaaminisha upuuzi ila deepdown mwanamke anayejielewa atataka awe na mume wake by any means!
Sasa we jitie nunda utashangaa una 33 unatafta mume gengeni 😂😂😂