Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Na huwa hawajui kuwa kutufahamu sisi ni more complicated kuliko wao wanavyojidhania kwa sababu tu waliongea na shetani, mwanaume aweza kumpenda mwanamke kwa namna alivyo descent tu ikawa anamhudumia hataki apatwe na madhira yanayoepukika na mwanamke akaonesha flag ya mapenzi mwanaume akaipangua vizuri tu ila hataki mdada yule apatwe na madhira yale bila kuhitaji ngono kwake.
 
Uko sahihi mkuu
 
Acha uzembe kwahio mie sio mstaarabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahaha nikajua unatafta Zoba wa kumpigisha deki [emoji28][emoji28][emoji28] !!! Utakuwa unaogopa makonzi wewe
Deki na kazi zote za nyumbani nitazifanya mwenyewe.
Hahah!mkataba wa kutokupigana kwangu ni muhimu,sijalelewa mazingira ya vipigo..siwezi ishi na bondia.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya bana we maliza mchezo na watoto wenzio mi utanikuta kituo cha mbele huku ukishakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…