Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

hela yako tumia kununua uzuri ili uolewe then mumeo atakupangia aina ya maisha ya kuishi

kitu ambacho hujui sisi wanaume tuna tabia ya kumchagua wa kumuoa pasipo aliyechaguliwa kujijua kisha tunatafuta maisha kwa ajili yao siku boom nimezipata namfata with in a year ndoa
utashangaa ana bahati hajakaa kwenye uchumba mda mrefu
kumbe jamaa alikua one side relationship over 3 to five years ili siku ya kupropose asiwe kichekesho
mengi hamjui kuhusu wanaume

Espy
kopi kwa Karucee
naruhusu mjadala
Na huwa hawajui kuwa kutufahamu sisi ni more complicated kuliko wao wanavyojidhania kwa sababu tu waliongea na shetani, mwanaume aweza kumpenda mwanamke kwa namna alivyo descent tu ikawa anamhudumia hataki apatwe na madhira yanayoepukika na mwanamke akaonesha flag ya mapenzi mwanaume akaipangua vizuri tu ila hataki mdada yule apatwe na madhira yale bila kuhitaji ngono kwake.
 
Maisha yana "fakes" nyingi sana kama pesa, mali, majumba, starehe.

Lakini kiuhalisia utakuja kugundua maisha yanahitaji LOVE ( UPENDO ), AMANI na FURAHA.

Ukiwa na mtu anayeweza:

  • Kusimama na wewe katika nyakati ngumu,
  • Kukutia moyo
  • Kukupenda

Nakuhakikishia utahisi you have the world hata kama hujala siku 2

Ukitaka kujua hili, siku ukiwa very stressed au deppressed, hebu chukua simu yako mpigie mtu unayempenda, eithet awe:

  • Mama
  • Baba
  • Mwanao
  • Mpenzi
  • Mjomba
  • Rafiki

Utajihisi moyo unapoa tuliiii

Ndio maana hata wagonjwa, huko hospitalini akioneshwa upendo anakuwa poa mnooo.

Hii siri ya upendo, hamasa na matumaini inatumiwa sana na:

  • Viongozi wa dini
  • Motivational speakers

Hakuna jambo zuri kama kuambiwa Nakupenda, kutoka kwa mtu umpendae.

Ukiwa bado kijana, una nguvu mbwembwe zinakuwa nyingi. Ila itafikia stage hata kukaa mjini utaona kelele, hata ukiwa na majumba 600 utalala kwenye chumba kimoja. Na wakati huo utahitaji kuwa na mtu wa karibu siyo tena kampani za Bar na Night clubs.

Family! family! family! Is irreplaceable.

Vitu vingine kama midegree, sijui vyeo ni vitu artificial vya kutengeneza tu.

==================

Hapo Lowassa hahitaji tena Pesa, partying wala vyeo.

Anaihitaji tu ukaribu na familia yake
[emoji116][emoji116]

View attachment 1773903
Uko sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom