Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Kupata Ndoa yenye furaha ni achievement kubwa kwa mwanadamu Ke/Me..... hii inampa sense of satisfaction /fulfillment/completeness katika maisha yake ya kila siku, kitu ambacho ni muhimu sana kwa utulivu wa akili (ubongo)

Mara nyingi sio kazi rahisi km wengi wanavyodhania....tafiti inaonyesha % kubwa ya watu wamefeli kweye hili.
..wanafeli wapi? .. ni story ndefu ambayo itahitaji uzi wake...

hiyo PhD, nyumba, , ajira nzuri , madaraka etc etc haviwezi kukupa furaha kamili. km utakosa mwenza wako (ndoa) ambapo mtafurahia kwa pamoja na kutengeneza familia imara.

Vijana oleweni na oeni....... haya maisha ya kuchagua sana mwenza ,' mwisho wa siku mnabaki mmekosa kilakitu mnaanza kudandia na kuvuruga ndoa za wenzenu waliozijenga kwa taabu kwa muda mrefu...(.Mungu hapendi)

Nb. Ndoa yenye furaha inajengwa na wanandoa wenyewe.
 
Na wanawake ambao hawajaolewa? Hawana maisha.?
Soma hapa bavaria 8.6 beer


bado sana
olewa ndo uanze maisha
unaweza ukajenga nyumba atakaye kuoa akakwambia hakuna kukaa huko
nyumba ikawa gofu rest of your life
ni vingi tu
ukiolewa utaambiwa hadi aina ya kuishi na mumeo kama ni mtu wa kanisani utakuwa hivyo
am out
 
bado sana
olewa ndo uanze maisha
unaweza ukajenga nyumba atakaye kuoa akakwambia hakuna kukaa huko
nyumba ikawa gofu rest of your life
ni vingi tu
ukiolewa utaambiwa hadi aina ya kuishi na mumeo kama ni mtu wa kanisani utakuwa hivyo
am out
Nimekuelewa sana!
Ngoja nitafute mume niache mbwembwe za kutafuta maisha[emoji848]
 
Nimekuelewa sana!
Ngoja nitafute mume niache mbwembwe za kutafuta maisha[emoji848]
hela yako tumia kununua uzuri ili uolewe then mumeo atakupangia aina ya maisha ya kuishi

kitu ambacho hujui sisi wanaume tuna tabia ya kumchagua wa kumuoa pasipo aliyechaguliwa kujijua kisha tunatafuta maisha kwa ajili yao siku boom nimezipata namfata with in a year ndoa
utashangaa ana bahati hajakaa kwenye uchumba mda mrefu
kumbe jamaa alikua one side relationship over 3 to five years ili siku ya kupropose asiwe kichekesho
mengi hamjui kuhusu wanaume

Espy
kopi kwa Karucee
naruhusu mjadala
 
Asante kwa kunifumbua macho
 
Hehehehe na ww time will come[emoji48][emoji48] mother nature hajawah kuwa mpuuzi kiasi kwamba ukengeuke kuwa " who you are" kazi alofanya mother nature for more than billion of years haijawah kwenda in vain[emoji48][emoji48][emoji48]
 
Wow. I had no idea.
 
Bado hujanishawishi
 
Khaaah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…