Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

Hiyo ni roho mbaya ya ubinafsi/umimi.

Hizo mali unazo/unazofuta ni kwajili ya nini?

Ebu toka huko haraka ktk fikra chafu za matumizi mabaya ya ubongo wako.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kua Mpole, hapo hakuna ubinafsi, Mali unaweza mpa mtu yeyote unayemtaka au jamii unayoona inahitaji. kuna wafanyakazi ambao ni loyal , productive na wameweza kufanya kazi kwa muda mrefu na respect kwa boss wao, hao wanastahili. sasa hapo nimekosea wapi?
 
Nimetoa hapa "2Timotheo 3:16-17"

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Oohh kumbe ni WENGI na siyo WOTE! Basi case closed!

Siku nyingine usirudie kufanya personal attacks kwa mtu usiyemjua sawa! Wengi humu walikuwa na mawazo kama yako juu yangu ila waliponifahamu walijiprove wrong wenyewe!
Mi sifatagi mkumbo bali huwa nasimama pekeyangu kwa kile ninachoona na kukiamini kiko sahihi na kina mantiki hata kama dunia nzima initenge huwa nabaki kama nilivyo, hivyo waambie hao waliokuona haukuwa sahihi baadaye wakajina wao ndiyo hawakuwa sahihi bali wewe ndiwe ulikuwa uko sahihi nimekataa na siko tayari kukuacha upotee bila sababu za msingi.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Sijataka kukujibu maana Hilo ni swali la kitoto sana kuliko wewe ulivyo.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Umekosea sana tena sana maana tangu na tangu familia zilikuwepo na hatukusikia huu ujinga unaoletwa na hiki kizazi chetu cha sasa kuona kuwa na familia ni dhambi.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Umenyooka naye kama mbio za formula one.
 
Hakuna jipya! Huyo nimeshabishana naye sana kwenye mada kama hizi na hakuna hoja anazoleta zaidi ya kufanya personal attacks tu na ndicho wanaume wengi wa humu mnachofanya mkikosa hoja kwenye mada kama hizi kwahiyo tushawazoea!
Personal attacks si wewe ndiwe uliyezileta kwangu kwa kudai "najifanya ni mcha Mungu ilihali nachepuka"?

Sasa hilo swala linahusiana vipi na mada kama si wewe ndiye uliyeasisi hizi personal attacks?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Cyb
Kwa wale wanaoaimini katika biblia. Watakubaliana na mimi ya kuwa mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume, kwa hiyo kusudi la mwanamke kuwako Duniani kuwa msaidizi wa mwanaume....!

Sasa inapotokea mwanamke hajapata mwanume wa kumuoa na umri umefika hapo lazima apate msongo mkubwa wa mawazo, hata kama ana mali kiasi gani. Kwa sababu hiyo ni asili...!

Na kamwe wanadamu hatuwezi kwenda kinyume na maumbile, na kama tukilazimisha basi lazima madhara yaonekane hata kwa baadae.

Ila huwezi kwenda kaburini kabla ya kuona madhara ya kwenda kinyume na asili ya ulimwengu huu
 
Feminism na ufeminist ni tabia wala si mpaka ujiite.

Sikusema kuwa huwa unakula hivyo vyakula lakini nimenena kwa asilimia kubwa sana Ke huathirika na hilo tatizo la kutokuwa na matamanio ya tendo la ndoa au kuhisi raha wakati husika wa tendo Hilo.

Tatu, haikupi uhalali wowote wa kuona ndoa haina maana sababu ya matatizo yako binafsi.

Nne ongeza bidii kumshirikisha Mungu katika kila hatua ya maisha na hata hilo tatizo lako litattatuka vizuri tu maana hakuna lisilowezekana kwake Mungu

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
achana na kuwa na degree sjui hela.
Adam alipewa ulimwengu mzma na kila kilichomo ndani akawa anaishi peke yake lakini still hakuwa na furaha(kukamilika)mpka alipoletewa mwenzake
 
Kwanza nikupongeze kwa kunielewa.

Pili mi ni muhenga unaponinukuu jaribu kunifafanulia kwa lugha ya Taifa langu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania"Kiswahili" na si lugha nisizozijua.

Yote kwa yote Mungu atusaidie na kutujengea upendo ule wa agape, Amina.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Watumishi hawa hawa wa siku hizi design ya kina Gwajima na Mwamposa au ni watumishi gani wa Mungu unaowasema mkuu
mkuu mimi ni mtumishi pia karibu PM tuyajenge taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…