Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Uko vizuri sana kihoja Chifu.Hakuna mashindano ya wenye ndoa na wasio nazo. Suala ni maisha na furaha.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko vizuri sana kihoja Chifu.Hakuna mashindano ya wenye ndoa na wasio nazo. Suala ni maisha na furaha.
Kua Mpole, hapo hakuna ubinafsi, Mali unaweza mpa mtu yeyote unayemtaka au jamii unayoona inahitaji. kuna wafanyakazi ambao ni loyal , productive na wameweza kufanya kazi kwa muda mrefu na respect kwa boss wao, hao wanastahili. sasa hapo nimekosea wapi?Hiyo ni roho mbaya ya ubinafsi/umimi.
Hizo mali unazo/unazofuta ni kwajili ya nini?
Ebu toka huko haraka ktk fikra chafu za matumizi mabaya ya ubongo wako.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nimetoa hapa "2Timotheo 3:16-17"Sasa umepata wapi mamlaka ya kunihukumu mimi? Maana naona tangu mwanzo unaongea kana kwamba wewe ni Mtume Paulo!
Kwanini umeshikia bango dhambi zangu ilihali na wewe una zako? Je haujui kuwa biblia inamuita "mnafiki" mtu ambaye anatoa boriti kwenye jicho la mwenzie ilihali hajatoa kibanzi kilichopo kwenye jicho lake mwenyewe?
Mi sifatagi mkumbo bali huwa nasimama pekeyangu kwa kile ninachoona na kukiamini kiko sahihi na kina mantiki hata kama dunia nzima initenge huwa nabaki kama nilivyo, hivyo waambie hao waliokuona haukuwa sahihi baadaye wakajina wao ndiyo hawakuwa sahihi bali wewe ndiwe ulikuwa uko sahihi nimekataa na siko tayari kukuacha upotee bila sababu za msingi.Oohh kumbe ni WENGI na siyo WOTE! Basi case closed!
Siku nyingine usirudie kufanya personal attacks kwa mtu usiyemjua sawa! Wengi humu walikuwa na mawazo kama yako juu yangu ila waliponifahamu walijiprove wrong wenyewe!
Sijataka kukujibu maana Hilo ni swali la kitoto sana kuliko wewe ulivyo.Nimekuuliza hivyo kwa sababu nimegundua haujui maana ya feminist! Ungekuwa unajua maana yake usingesema mimi ni feminist!
Kwahiyo uasisi kuwa pale China ndiyo maana ya feminist na ndiyo tayari unajua! Aiseee nazidi kujua nabishana na Mtu wa aina gani!
Umekosea sana tena sana maana tangu na tangu familia zilikuwepo na hatukusikia huu ujinga unaoletwa na hiki kizazi chetu cha sasa kuona kuwa na familia ni dhambi.Kua Mpole, hapo hakuna ubinafsi, Mali unaweza mpa mtu yeyote unayemtaka au jamii unayoona inahitaji. kuna wafanyakazi ambao ni loyal , productive na wameweza kufanya kazi kwa muda mrefu na respect kwa boss wao, hao wanastahili. sasa hapo nimekosea wapi?
Umenyooka naye kama mbio za formula one.Mi nakuelewa kuliko we unavyojielewa, hivyo nakuomba unielewe tu kwa wema ya kuwa we ni nguli wa feminism hata kama kishingo upande Dada.
Ni siku nyingi sana niko humu na nilikuwa nabishana sana na ninyi na wengine kama akina Rebecca.
Hili ni jina langu la 3 kama sikosei kwa sababu za kutoka na kurudi mara kwa mara hapa JF.
Nakukumbusha majina mengine niliyokuwa nikiyatumia hapa ni "Fulfilled Truth na Strongest Belief Secret"
Nisamehe kwa hilo maana nakupenda sana na nahitaji nikutoe huko uliko ili uendane na matendo mazuri yanayompendeza Mungu.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Muone mtumishi wa Mungu interlacustrine.Nitoe ya nini ikiwa Mie sifurahii
Mkuu unakataa kuokolewa na mtumishi wa Bwana.Pole sana! Mimi sipelekeshwi na maneno ya watu!
Personal attacks si wewe ndiwe uliyezileta kwangu kwa kudai "najifanya ni mcha Mungu ilihali nachepuka"?Hakuna jipya! Huyo nimeshabishana naye sana kwenye mada kama hizi na hakuna hoja anazoleta zaidi ya kufanya personal attacks tu na ndicho wanaume wengi wa humu mnachofanya mkikosa hoja kwenye mada kama hizi kwahiyo tushawazoea!
I appriciate Mkuu.
Ukiona hivyo huoni dalili ya ndoaBinafsi kuolewa sijakupa kipaumbele sana kwenye maisha yangu.
Kuna kitu hakiko sawa mahalaBinafsi kuolewa sijakupa kipaumbele sana kwenye maisha yangu.
Feminism na ufeminist ni tabia wala si mpaka ujiite.Wow kumbe mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu eh? Aliyesema mimi ni feminist na natumia vidonge vya uzazi wa mpango na nakula vyakula vinavyojaza tumbo ni nani?
Halafu suala la kuchepuka uliwahi kulikiri mwenyewe na nilikukumbushia tu baada ya kuona umeamua kujifanya mtakatifu sana kumbe mhuni kama wahuni wengine tu! Haya mimi ni wapi niliwahi kusema kuwa mimi ni feminist na natumia sijui hayo mavidonge na hayo mavyakula na ukaenda mbali zaidi na kusema kuwa nina psychological problem teh!
Hizo ndiyo personal attacks sasa! Stop playing the victim here young man!
achana na kuwa na degree sjui hela.Kwa nini mwanamke kuolewa inaonekana ni jambo muhimu, kipaumbele, heshima na mafanikio makubwa kuliko kupata PhD, kujenga nyumba yake, kumiliki biashara yake, kuwa boss wa kampuni kubwa n.k?
Mafanikio makubwa si yale ambayo mtu anayapata kupitia jitihada zake mwenyewe kuliko yale ya kupewa au kusubiria maamuzi ya mtu mwingine?
Kwa nini wanawake ambao wanaamini wanachelewa kuolewa huwa katika pressure kubwa sana ukilinganisha na wanaume?
Kwanza nikupongeze kwa kunielewa.Ulisoma hii comment yangu? Hakuna sehemu nimesema ndoa haina maana kwahiyo ulichofanya hapa wewe tangu mwanzo ni kunilisha maneno na ndiyo maana nikawa nashangaa huyu mbona kama anatoka nje ya mada?
Ndoa ni muhimu ila siyo lazima kwa kila mtu! Tangu ancient na medieval times watu kama sisi walikuwepo na hata sasa kwenye modern times tupo na wataendelea kuwepo tena zamani wengine walikuwa hadi ni mitume na manabii na Mungu aliwakubali wamtumikie bila kuwa na ndoa wala Familia!
Kuhusu suala la feminism nimeshakuambia haujui maana yake hivyo tuishie tu hapo! Tukiingia deep zaidi nitakuacha mbali sana rafiki cause that is beyond your level of understanding!
mkuu mimi ni mtumishi pia karibu PM tuyajenge taratibuWatumishi hawa hawa wa siku hizi design ya kina Gwajima na Mwamposa au ni watumishi gani wa Mungu unaowasema mkuu
KabisaKitu ambacho hujui ni kwamba wanawake wanaanza maisha baada ya kuolewa